Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,083
- 12,326
Kwahiyo tunafanyaje mkuu?
Basi tupeleke hospital mpaka watakapo tokea wanandugu.
Kwahiyo tunafanyaje mkuu?
Munafufuka kama kumbi kumbi.Marehemu alikua ana mdomo 'thana',
London will be always [emoji837]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama tumemchapa threesome na huku nako anaendelea kugaragazwa ndo akome na mdomo wake na tunasema apigwe tu hakuna namna. Tulichekwa mno huko mwanzo na kejeli kibao sasa zamu yao waje huku.Marehemu alikua ana mdomo 'thana',
London will be always [emoji837]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara hii 3 basi zitafika 10 mbona hata dk ya 35 bado uwiiiiih.Chuma ya 3
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Leo ni mauaji ya kimbari.
Raping is against the law.
Kindly take note
Mkuu nikuomba kibali manispaa maana hawa watarudi waombolezaji wakitawanyika.Kwahiyo tunafanyaje mkuu?
Basi tupeleke hospital mpaka watakapo tokea wanandugu.
Halafu na yeye anajiita timu kubwaAnaendeleza record yake mbovu dhidi ya timu kubwa.