juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Ukimuangalia Jack Grealish anavyocheza, huyu ndio alikuwa player atakaeweza kuziba pengo la hazard.
Sema kwa kuwa ni muingereza watu wengi wanamchukulia poa tu.
Sema kwa kuwa ni muingereza watu wengi wanamchukulia poa tu.