whoa! opening ceremony nzuri..ila lugha ya huyo mwimbaji siielewi, khaa! nimependa madoido..timu zipo uwanjani sasa
naenda kulala, nimeshindwa.
Leo sina la kusema.....Ngoja kwanza nikalale ili nikiamka kila kitu kiwe kimeisha...Sitaki kufa kwa pressure na kuwaacha wajukuu zangu wazuri!!
Babu DC!!
mambo ya kushindwa kulala siyawezi.