Henderson ni mzuri? Emi Martinez aliyekua Arsenal ni mzuri kuliko Henderson.Kepa anauzwa,
Donnaruna mkataba wake unaelekea ukingoni na isitoshe ana miaka kama 21 hiv kama sijakosea, Mendy anamiaka 28
Man utd wana 2 wazuri, de gea,henderson,wote hawa nimakipa wazuri
Cech ni wa msim huu tu, due to hali ilivyo ya corona.
Donnarumma ni chaguo la kwanza AC Milan hawezi kukubali kuja kugombea namba labda ahakikishiwe kuanza. Na ikiwa hivyo means Mendy aondoke.
Recruitment itakua na kazi gani?

