Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

City wamepanga kikosi dhaifu kutokana na janga la corona Laporte, Edson, Torres, Jesus, Mendy hawapo. Hakika tutamfunga goli za kutosha.
Mendy yuko nje
Laporte ni injury

Bench la city lina mendy,aguero,mahrez,fernandinho

Pengo ni la ederson tu hapo labda na walker
 
Kikosi kizuri halafu coaching skills 0% ni sawa na bure.
#Lampard OUT
 
City wamepanga kikosi dhaifu kutokana na janga la corona Laporte, Edson, Torres, Jesus, Mendy hawapo. Hakika tutamfunga goli za kutosha.
Mentality ya timu nzima ndio itaipa Chelsea ushindi. Wakicheza agressively tutashinda ila wakicheza legelege Citizen mbovu itatufunga hakika
 
Kikosi kizuri halafu coaching skills 0% ni sawa na bure.
#Lampard OUT
Coaching skills? Hapo unachemka. Lampard alifanya vizuri sana na kikosi cha kawaida sana msimu uliopita. Matatizo mawili ya Lampard
1. Mahaba kwa baadhi ya wachezaji kuathiri upangaji wa kikosi
2. Kuchelewa kufanya sub hata pale tusio makocha tunaona wazi mabadiliko yanatakiwa

Other than that ni kocha mzuri. Akijirekebisha ana kikosi kizuri sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom