Ambacho hujui ni kwamba Pepe hana namba. The only way ningekufanyia rekodi ni kwa namna hiyo. Hata nyinyi mnavyosema werner na kai mmepigwa mnaangalia michuano yote au selected few?Unachokombilia eti kwenye mechi 10 kwann usifanye overall michuano yote😀....overall michuano yote Kai ana goli 4 ....Werner mpk sasa anacontribution ya goli 8 na ukame wake wa mechi 10.......na huu msimu wao wa Kwanza ...huyo comrade kipepe hamna kitu msimu wake wa pili Ile assist ya FA ni dondokee Tu hamna lolote...yaan busy unamsifia comrade kipepe kabisa😂😂😂