Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tatizo lenu nililoliona jana ni intensity, hakuna kabisa. Lampard needs to work on that, mlikuwa mna Kim bila hovyo hovyo tu uwanjani
Chelsea ikikutana na timu zinazocheza aggressively huwa inazidiwa ujanja. timu hizo msimu huu ni LCFC, Ston Villa, Everton, Liverpool na jana kwa mara ya kwanza Arsenal wanacheza with high intensity na kutuzidi ujanja. Arsenal wakiendelea na hii intensity watajiokoa na kushuka daraja
Sisi Chelsea ni timu ya kufa na kufufuka, natumaini kesho tutafufukia darajani
 
Tatizo la jana Arteta alisha cheza mind game kabla ya mechi na Lampard akanyamaza kimya, angemjibu ingekuwa dawa ya kuwafanya wachezaji wetu wawe makini na Arsenal

Angalia hii statement ya Arteta

Chelsea have strongest squad in Premier League and Arsenal must improve 'dramatically'

Kwenye mechi ya kesho usishangae mabadiliko haya 7 kutokea
Lampard kadai atahitaji sura mpya kwa wingi
  1. Rudiger akacheza nafasi ya Silva
  2. Emerson nafasi ya Ben Chilwell
  3. Azpilicueta nafasi ya Reece James
  4. Kante kurudi nafasi ya DM
  5. Havertz kuanza badala ya Kovacic
  6. Odoi nafasi ya Werner
  7. Giroud badala ya Tammy Abraham
 
Mkumbushewni Lampard jamani kwamba winga wote sasa wapo, Werner arudishwe katikati
 
Ulikua unataka kusema nini hapo?
Funguka mkuu.
Biggest wins Chelsea vs Arsenal

Chelsea 6 Arsenal 0 Premier League match at Stamford Bridge on 22 March 2014.
Chelsea 1 Arsenal 5 First Division match at Stamford Bridge on 29 November 1930.
 
Msimu uliopita Lampard alipewa mkataba wa kwamba timu isishuke daraja, je kuna anayefahamu msimu huu mkataba ukoje?
 
Biggest wins Chelsea vs Arsenal

Chelsea 6 Arsenal 0 Premier League match at Stamford Bridge on 22 March 2014.
Chelsea 1 Arsenal 5 First Division match at Stamford Bridge on 29 November 1930.
Hebu lete na rekodi ya nani ana trophies nyingi kati ya Arsenal na chelsea
 
Biggest wins Chelsea vs Arsenal

Chelsea 6 Arsenal 0 Premier League match at Stamford Bridge on 22 March 2014.
Chelsea 1 Arsenal 5 First Division match at Stamford Bridge on 29 November 1930.
Hebu lete na rekodi ya nani ana trophies nyingi kati ya Arsenal na chelsea
 
Kwenye mechi ya kesho usishangae mabadiliko haya 7 kutokea
Lampard kadai atahitaji sura mpya kwa wingi
  1. Rudiger akacheza nafasi ya Silva
  2. Emerson nafasi ya Ben Chilwell
  3. Azpilicueta nafasi ya Reece James
  4. Kante kurudi nafasi ya DM
  5. Havertz kuanza badala ya Kovacic
  6. Odoi nafasi ya Werner
  7. Giroud badala ya Tammy Abraham
Hakuna kocha pale ni uchafu tu ule
 
Hii timu yangu sijui wachezaji ndiyo wanashida au kocha au wachezaji walisherekea krismass wakajisau? But bado naimani na timu yangu Chelsea. #Comeonechelsea always blue#
 
Tatizo la jana Arteta alisha cheza mind game kabla ya mechi na Lampard akanyamaza kimya, angemjibu ingekuwa dawa ya kuwafanya wachezaji wetu wawe makini na Arsenal

Angalia hii statement ya Arteta

Chelsea have strongest squad in Premier League and Arsenal must improve 'dramatically'

Kwhy hii statement ilisababisha Jana. mkafugwa

Kweli Chelsea ni timu ndogo
 
Kama mnadhani Liverpool alikula gori saba kwa bahat mbaya

Leo mtayaona sasa

Villa camooon
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom