Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Umewekewa record umekuwa mpole, safi! Ulitakiwa tangu mwanzo uwe hivi na sio kuropoka kwa vitu ambavyo huna ushahidi huo tunaita ushabiki maandazi.

Baada ya man u ni chelsea (2012) na liverpool (2019). Timu zilizochukua ligi duniani kwa unbeaten zipo nyingi tu kama Ajax 1994/1996, celtic 2016/2017, Juventus 2011/2012, n.k
Na manyumbu walichukua ubingwa bila kufungwa 9870 BC
 
Hii mechi nilishahisi tunafungwa ndio maana sikutoa comments hapa kabisa before hii mechi, wala prediction ya kikosi wala mfumo.

Kuna rafiki yangu Chelsea kindakindaki tarehe 24 nilimwambia tunafungwa na Arsenal alikataa katakata, akajibu hii Arsenal kibonde inafungwa ovyo ovyo ndio itufunge? Nikamwambia ushindi kwetu ni draw huwezi kuamini.

Jana nimecheki naye game ametukana matusi yote duniani, amelaani sana. Nilibaki nacheka tuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkicheza big matches, Lampard huwa ana-opt kukaba zaidi, na jana game kaianza kwa kukaba pia.

Bahati mbaya Arsenal walikuwa so motivated, na ni kama walicheza wakiwa desperate, kwamba liwalo na liwe.

Vs Tottenham, Man Utd zote mlipaki mkatoka 0 - 0, bado mna game mbili ngumu kumaliza round, Man City na Leicester City.
 
Hata mimi niliisanukia mapema,
Mashabiki wenzetu walikuwa na confidence sana wakasahau hii ni darby na Lampard hamuwezi Arteta.
 
Mkicheza big matches, Lampard huwa ana-opt kukaba zaidi, na jana game kaianza kwa kukaba pia.

Bahati mbaya Arsenal walikuwa so motivated, na ni kama walicheza wakiwa desperate, kwamba liwalo na liwe.

Vs Tottenham, Man Utd zote mlipaki mkatoka 0 - 0, bado mna game mbili ngumu kumaliza round, Man City na Leicester City.
Hapo kwenye game ya Spurs nakataa mkuu hatukupaki basi spurs ndio walipaki hata kwa game ya man u pia
 
Ninachoona Wachezaji wapya, academy na wale wa Zamani bado hawajamatch, ndio maana Lampard anatakiwa kupewa angalau misimu miwili ili hii timu mpya izoeane, na msimu wa kiangazi viraka vichache vizibwe. Haland atue ili apambane na Timo, Giroud naona msimu wake wa mwisho. Tomori, Gilmour, Tamy wapelekwe kwenye mkopo kwa sababu msimu wa 2021/22 tunamaanisha ubingwa sio kujenga timu tena
Jorginho na yale makapi yauzwe. Tujenge timu ya ubingwa chini ya hawa wachezaji
  1. Mendy
  2. Silva
  3. Zouma
  4. Rudiger
  5. Reece james
  6. Azpilicueta
  7. Ben chilweel
  8. Emerson
  9. Kante
  10. Kovacic
  11. Mount
  12. Havertz
  13. Odoi
  14. Pulisic
  15. Ziyech
  16. Werner
  17. new CB
  18. NEW DM
  19. New Striker
  20. New Winger
 
Me nina imani wenda tangu uanze kuishabikia Arsenal hujawahi kushangilia ubingwa, (EPL)kama uliwahi basi ni mala moja tu.

Arsenal anachukua ubingwa wa (EPL) mimi kidevu laini hata ndevu sina.

Jiulize mpaka leo nina watoto wawili na nusu Arsenal hajachukua kombe EPL.

Arsenal anaenda alipo New Castle.
Na manyumbu walichukua ubingwa bila kufungwa 9870 BC
 
Orachuga, njoo, Dully Jr kafufuka huku.
Tena yuko kitaa chako anakichafua ile mbaya.
 
Biggest wins Chelsea vs Arsenal

Chelsea 6 Arsenal 0 Premier League match at Stamford Bridge on 22 March 2014.
Chelsea 1 Arsenal 5 First Division match at Stamford Bridge on 29 November 1930.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom