BAKOI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 1,211
- 2,330
Mambo ya kizamani Hayo.Mpira dk 90. Usianze kucheka mamba na mto hujauvuka!
Sasa hivi tunamtukana mamba na mto tunavuka
Mambo ya kizamani Hayo.Mpira dk 90. Usianze kucheka mamba na mto hujauvuka!
Kudadeqiii 😂😂😂Mambo ya kizamani Hayo.
Sasa hivi tunamtukana mamba na mto tunavuka
Shwaini zako 😁Mambo ya Mamba yanakujaje hapa kwa mfano???
Nani kasema anataka kuvuka mto kwani?? Je kama wenyewe tutaogelea???
Leo wamevuka bila kupitia njia ya mtoniMpira dk 90. Usianze kucheka mamba na mto hujauvuka!
Mwenzako kashanikimbia huko wasapuYaani hapa natamani hata kuikimbia watsap, vile hakuna team huwa nawasema kama Arsenal maskini Mimi jamani..!
Mungu kwanini umeruhusu haya yatokee Chelsea kuwa na kocha kama Lampard? Why God why?





HahahahahahahRelief,
Nimesafiri kidogo nipo off kwa sasa, siwezi zungumza lolote linaloihusu Chelsea bila mwanasheria wangu..!
Nijibu basi aiseeee.Mimi nasemwa watsap, madogo wananishushua hapa. No body by my side nikona heri nikimbilie Chelsea thread 🏃🏃
Alonso is far better than Chilwell, sema tuu Chilwell kamzidi Alonso pumzi na kasi lakini kwa ubunifu, kucreate chances na kufunga Alonso is the best.
Sent using Jamii Forums mobile app
Urudi tuWala siko serious! Nasubiri tu baadaye nirudi!
Nikujibu nini?Nijibu basi aiseeee.
Tukachana na kuitumia yoteWalipania.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Shwaini zako 😁
Haya maneno yalikuwa wapi mda wote ya alonsoAlonso is far better than Chilwell, sema tuu Chilwell kamzidi Alonso pumzi na kasi lakini kwa ubunifu, kucreate chances na kufunga Alonso is the best.
Sent using Jamii Forums mobile app