Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,624
- 39,997
Ashapiga chafya huko.Maiti inafufuka leo
Ashapiga chafya huko.Maiti inafufuka leo
Mpira huu huu ndio mnaopata matokeo
Hahahahahahahahahahahahaha
Kikosi cha leo kilikuwa kizuri ispokuua kumuanzisha Tammy ulikuwa ni ujinga kama ujinga mwingine. Reece bado hajakaa sawa.Giroud hana maisha marefu stamford
HahahahahahahahahaSiyo dharau hiyo ndio inawastahili wao. Tukiweka full mkoko wanaweza kutubebesha mzigo wa lawama dunia nzima ikatuchukia
Mpira dk 90. Usianze kucheka mamba na mto hujauvuka!
Acha kujipa moyo nduguMpira dk 90. Usianze kucheka mamba na mto hujauvuka!
Mbwa mwenyewe. Kwani si ni game life tu?Mko wapi nyie Mbwa? Njoo muone magoli