Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,165
- 5,621
Mpira ni dk 90. Shangilia kipenga cha mwisho kikilia. Leo Crystal Palace kala 3-0 kutoka kikosi cha watu 10
Mpira ni dk 90. Shangilia kipenga cha mwisho kikilia. Leo Crystal Palace kala 3-0 kutoka kikosi cha watu 10
Mbwa mwenyewe. Kwani si ni game life tu?
Kikosi cha leo kilikuwa kizuri ispokuua kumuanzisha Tammy ulikuwa ni ujinga kama ujinga mwingine. Reece bado hajakaa sawa.
Lampard kama kawaida kigugumizi cha kufanya sub mpaka afungwe.
Reece Out, Azpi in
Tammy Out, Giroud In.
Kovacic out, Havertz In
Ngoja tuone itakavyukuwa second half!




Tayari huko Arsenal anaongoza 2 bila.Kesho Arsenal anafufuka
Hamtaamini kitakacho wakuta
Nyie mpo mnapost krismass
Arsenal wapo wanaandaa siraha nzito
Maana vipigo vimezidi
Camooon Arsenal
Kesho tunampiga Newcastle
Tunaingia top four
Citizen chairman
Naenda Instagram kuangalia matusi ya rangi zote.Huu usenge,yaani tunafungwa na viwete.
Wale ni Aston villa na nyinyi ni ChelsickMpira ni dk 90. Shangilia kipenga cha mwisho kikilia. Leo Crystal Palace kala 3-0 kutoka kikosi cha watu 10
Duh!..Mbwa mwenyewe. Kwani si ni game life tu?
Jirani 😉Duh!..
Nimeogopa jirani....hujamboJirani 😉
Anakaribia kumaliza pakiti moja.Yani kweli arsenal anakujua kuponea kwenu![]()
Usiogope... Heri ya ChristmasNimeogopa jirani....hujambo
Pamoja nawe jirani....upo mitaa yako au umetokaUsiogope... Heri ya Christmas
Nimekufata hukuYaani hapa natamani hata kuikimbia watsap, vile hakuna team huwa nawasema kama Arsenal maskini Mimi jamani..!
Relief,