Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

insta_2467146665283495754.jpeg
 
Kinachowapa advantage Liverpool ni huo uwezo wa kucheza counter attack hata kam a wanamiliki mpira 66% tofauti na Man City na Chelsea yetu wanaotaka kufunga goli kwa pasi hadi kwa kipa. Mimi binafsi naipenda sana counter kwa sababu inakausha upinzani. Lampard ajifunze kupata magoli kupitia counter pia badala ya pasi za kuremba remba tu.

Liverpool wamelipa bila huruma magoli 7 ya Aston Villa na sasa title contenders wanaanza kujitenga na walalahoi, makabwela
 
Sisi kazi yetu ya weekend imeisha, tunaangalia mnaoitwa au kujiita wapinzani weekend hii.
 
Dirisha la usajili January likifunguliwa tusajili Winga 2 ya kushoto na kulia kusaidiana na Pulisic na Ziyech.

Pulisic, Ziyech, Odoi wamekuwa wahanga wa majeruhi. Bila kusajili hizi nafasi tutateseka sana.

Kumchezesha WERNER kushoto sio suluhisho, anakuwa butu hafungi arudi nafasi yake ya mshambuaji wa kati.

Vilevile kuwachezesha wachezaji wrong position tunakosa kilicho bora.

Kwa upande wa kocha ifike mahali awe na kikosi kinachofahamika 1st eleven. Kwa mfano kwa sasa inafahamika tuna injuries kule mbele, sasa kocha huku katikati anafanya rotation ya nini? Kai wa nini sasa?

Aache wachezaji ambao wameshabuild connection panga pangua labda patokee injury.

Mount - Kante - Kovacic

Chilwell - Thiago- Zouma- James

Kocha wetu muda mwingine ni kiziwi hajifunzi aiseee. Ana silaa lakini anashindwa kuwatumia eti
 
Kinachowapa advantage Liverpool ni huo uwezo wa kucheza counter attack hata kam a wanamiliki mpira 66% tofauti na Man City na Chelsea yetu wanaotaka kufunga goli kwa pasi hadi kwa kipa. Mimi binafsi naipenda sana counter kwa sababu inakausha upinzani. Lampard ajifunze kupata magoli kupitia counter pia badala ya pasi za kuremba remba tu.

Liverpool wamelipa bila huruma magoli 7 ya Aston Villa na sasa title contenders wanaanza kujitenga na walalahoi, makabwela
Mabeki wana pass nyingi kuliko viungo, halafu pia Zouma ni bonge la uchochoro. Staili yake ya kumsindikiza mchezaji mpk kwnye box ndio afanye maamuzi ndio huwa simuelewagi.

Inabidi tufungwe tu ili kocha afukuzwe.
 
Dirisha la usajili January likifunguliwa tusajili Winga 2 ya kushoto na kulia kusaidiana na Pulisic na Ziyech.

Pulisic, Ziyech, Odoi wamekuwa wahanga wa majeruhi. Bila kusajili hizi nafasi tutateseka sana.

Kumchezesha WERNER kushoto sio suluhisho, anakuwa butu hafungi arudi nafasi yake ya mshambuaji wa kati.

Vilevile kuwachezesha wachezaji wrong position tunakosa kilicho bora.

Kwa upande wa kocha ifike mahali awe na kikosi kinachofahamika 1st eleven. Kwa mfano kwa sasa inafahamika tuna injuries kule mbele, sasa kocha huku katikati anafanya rotation ya nini? Kai wa nini sasa?

Aache wachezaji ambao wameshabuild connection panga pangua labda patokee injury.

Mount - Kante - Kovacic

Chilwell - Thiago- Zouma- James
Sometime hata sio kuchezeshwa wrong position inategemea na mchezaji wenyewe. Kama Havertz juzi kachezeshwa no.8 lakini hamna kitu alichokifanya. Au huyo Wanner japo anatokea pembeni anabaki na goli anakosa au anaokoa kbs goli. kwa hiyo akicheza CF ndio atafunga? hata akicheza CF mambo bado yatakua yale yale tu. Kwanza kuchezeshwa striker pale chelsea kwa sasa ni lawama tu mana hakuna creativity. Mpira muda wote upo kwa mabeki wanatengeneza ball possesion.
 
Reece James anaweza kufanyiwa upasuaji, majeruhi wanatoka hawa wanaingia hawa
Ziyech ni 50/50 kucheza kesho, Odoi yuko fit na anaweza kucheza
 
Mkuu, uhalisia uko hivi.
Chelsea imeanza kuvuna mashabiki (kwa hapa Tanzania) mwaka 2005.

Wengi wa mashabiki ni masalia wa Liverpool walio kata tamaa na timu yao.

Kuanzia msimu wa 2005 watoto wadogo (wajomba zetu) wengi walianza kuishabikia Chelsea, wengi wao ni waliozaliwa 1993+ .

Kwahiyo usitegemee ushabiki wa heshima kutoka kwa watoto wa lika hilo.
Mimi nimezaliwa mwaka 1978 na Chelsea naijua tangu mwaka 1980. Fulu stop!
 
Ili timu ichukue ubingwa wa EPL ni lazima iwe na wachezaji wenye sifa zifuatazo
  1. Iwe na kocha na timu yenye uwezo wa kufikisha zaidi ya goli 90 na point 90 kwa msimu
  2. Kipa mwenye uwezo wa kupata cleansheet zaidi ya 15 na mwenye kururhusu magoli machache sio zaidi ya goli 20 kwa msimu
  3. Mabeki wenye consistency kwenye kukaba na wanaojua kuzuia madhara ya set pieces
  4. DM wenye uwezo wa kuwalinda mabeki
  5. Kiungo mshambuliaji mwenye uwezo wa double dijits kwenye magoli na assists kwa msimu, yaani mwenye kuweza kufunga zaidi ya goli 10 na kutoa assists zaidi ya 10 kwa msimu
  6. Winger na striker mwenye uwezo wa kufunga magoli 20-30 kila mmoja kwa msimu
Chelsea msimu huu tunaweza kutimiza masharti ya 2-4 lakini hapo kwenye namba 1, 5 na 6 HAKUNA KITU HAPO so let us forget about UEFA title or EPL title na tuendelee kujenga timu
Lampard tumsamehe msimu huu ila msimu ujao hatutamsamehe kabisa, uvumilivu utakuwa umeondoka kabisa
 
Huo mwaka 1978 ndio kwanza ulikua kwenye zipu ya baba yako, ana kufunga na kukufungua.

1998 mimi naanza kushabikia soccer, wewe unakunya mavi kwa mafungu tu, unakunya hapa unainuka unakunya pale unainuka.
Mimi nimezaliwa mwaka 1978 na Chelsea naijua tangu mwaka 1980. Fulu stop!
 
Jamani kikosi cha mwaka kimetoka.

View attachment 1653252

Kwa kuangalia current form ya wachezaji wa Chelsea, mnadhani nani anaweza kuingia mwaka kesho?
Kipindi kile kulikua na kina Hazard, Kante na ndicho kipindi Klopp alikua anaanza hakukua na wachezaji wa Liverpool.

Naomba tupe muda tutaanza kumuona Pulisic, James, Hakim, Kai n.k
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom