Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwa hiyo wanaopanga ratiba wameona watupange na Chelsea akiwa ameshatolewa UEFA?
wasiwasi uko wapi hapo brother?
watakuja na hasira ya kuadhibiwa na atletico hapo anfield, au watakuja kuendeleza maumivu ya kuadhibiwa hapo anfield.
waswahili wanasema muonja asali haonji mara moja, nina wasiwasi huenda ukamuendelezea kipigoo kwa mechi ya nne mfululizo ya ligi kuu kama nitakuwa sahihi.
 
Noma sana, sema miezi miwili kwenye soccer ni kipindi kirefu sana, hapo utakuta timu ziko na hali tofauti mpaka kufika muda huo.

Maombi yangu ni Thiago na Jota wawe wazima, na kusiwe na majeruhi zaidi ya VVD na Gomes.
 
VVD muda huu naona yupo dubai anakula raha za majeruhi, jamaa taarifa zake za kiafya zipoje?
kuna makocha maalumu wenye uwezo wa kubadilika kutokana na mazingira halisi yaliopo na mmoja wao alisha acha soka miaka 7 iliopita, kwa hawa waliopo muogope jose mourinho pekee na si lampard na Ole
 
Mashabiki wenzangu bana badala ya kujadili kilichotukumba juzi (Everton) na jana (Wolves) ni nini? Tunajiondoaje kwenye vipigo vinavyokuja, mnaishia kujadili vitu ambavyo viko nje ya uwezo wetu kwa sasa.

Timu inafungwa huko sio mwelekeo mzuri WHY tunapokea vipigo and HOW tunabadilisha upepo.
Mashabiki tunakuwa na hasira mwisho wa siku tunapoteza focus halisi ya tatizo.

Ukweli lazima ubaki kuwa ukweli, timu zetu hizi tatu Manchester United, Chelsea na Arsenal zina makocha wanaojifunza kuongoza timu kubwa na zenye pressure ya mashabiki. Kwa kifupi timu hizi ni kubwa sana kuliko uwezo wao.
 
VVD muda huu naona yupo dubai anakula raha za majeruhi, jamaa taarifa zake za kiafya zipoje?
kuna makocha maalumu wenye uwezo wa kubadilika kutokana na mazingira halisi yaliopo na mmoja wao alisha acha soka miaka 7 iliopita, kwa hawa waliopo muogope jose mourinho pekee na si lampard na Ole

Kwa nature ya majeruhi ya VVD ni msimu mzima, hata ikitokea akawa amepona around March au April, sidhani kama kocha ata risk kumchezesha msimu huu.

Lampard na Ole wako kwenye learning curve, huwezi jua wata peak muda gani, though naona kama Ole graph yake haieleweki, Lampard naweza mpa benefit of doubt kwamba atakuja kuwa vizuri.
 
hapo kwa ole kama atashindwa kujijenga muda huu sidhani kama ataweza kuwa mwalimu bora hapo mbeleni akielekea miaka 50, baada ya kustahafu soka alianzia career yake ya ukufunzi pale united reserve team, baadae akaelekea cardiff na molde na zote hizo ni timu ndogo sana kipresha,

kivyoyote bwana huyu alikuwa na muda mzuri sana wa kujijenga professional kwenye hiyo career yake ya ufundishaji huko alikotkea, now yupo united timu inayompa kila kitu anachokihitaji na still ameshindwa kudeliver matokeo bora na soka bora ndani ya uwanja licha ya uzoeefu aliokuwa nao, kibaya zaidi timu anayofundisha inamfanya muda wote awe na presha kubwa sana inayochangizwa na uhitaji wa matokeo bora yatakayoweza kurudisha morali ya ushindani wa makombe.

media zinamuandama, mashabiki wanamuandama, wawekezaji wanamuangalia yeye na huku umri ukiendelea kumtupa kwa sababu ana miaka 48 na bado hajajijengea heshima inayostahili itakayozifanya timu nyenginezo washawishike kuhitaji huduma yake pindi atakapoondoka united.

kama atashindwa man utd huenda itakuwa ndio mwisho wa career yake ya ukufunzi, nani atakayemuhitaji pale pale ulaya kuu(german,england, france, spain).
=========

lampard bado anajificha kwenye kivuli cha uzoefu, baada ya kustahafu soka nakumbuka alitumia muda mwingi sana kufanya kazi ya pundit tofauti na mwenzake steven gerrard aliyeelekeza nguvu kazi kwenye fani ya ukocha.

bahati ya pili alipewa timu ya chelsea wakiwa na ban ya usajili na aliweza kuwapa tiketi ya UEFA msimu huu licha ya kwamba alikuwa akipata matokeo yasioridhisha baadhi ya nyakati, kuwapa nafasi ya UEFA akiwa na wachezaji mfano wa tomori, zouma, mount, abraham, odoi na wengineo ni tiketi nyengine inayomfanya aendelee kuaminiwa na wapiga kelele wa pale darajani.

bahati namba 3 jamaa anafundisha timu ambayo haina presha yeyote kubwa ukiachana na mzuka wa bossi kitambi abramovich, chelsea ameshapoteza mechi mbili mfululizo ila husikii legendary yeyote akimnyooshea kidole super frank, hata media za uingereza zimekuwa haziendeshi mijadala ya mara kwa mara juu yake.

kwa umri wake na cv yake ya kiuchezaji naamini anaweza kupata offer nyengine baada ya kuondoka chelsea, hivyo basi nakubaliana na wewe super frank bado ana nafasi zaidi ya kujijenga.

jana nilibahatika kuangalia mechi ya chelsea
  • lampard huongozwa na mazoea: hafanyi sub kwa sababu ya kiufundi bali huongozwa na mazoea, nimepitia forum thread nyingi za chelsea kwa kuanzia hapa mpaka reddit nipate kujifunza angalau dhumuni la kuingizwa abraham baada ya kutolewa giroud lakini hakuna aliyeweza kuja na tactical analysis yeyote.
  • timo werner ataendelea kulose possession ovyo kila mechi kama ataendelea kuchezeshwa pembeni, jamaa ni mweupe sana anapokuwa mbali ya goli. kama kocha anawajibika kumtafutia werner eneo sahihi la kiuchezaji, kule germany hakuwahi kuzipata goli 20 kwa kutokea pembeni
  • sitaki kumzungumzia kai harvetz, eneo lake sahihi linajulikana....tafuteni mechi dhidi ya crystal palace japokuwa hakuchangia goli lakini alicheza vizuri sana na ulegevu wake
  • chelsea wanapocheza na giroud mentality yao kubwa ni mpira wa krosi
  • hivyo basi chelsea wanahitaji mchezaji mwenye kuuelewa mchezo pindi wanaposhambulia, majirani zetu man city wanateseka sana kipindi hichi kumkosa mchezaji mwenye sifa hizo, miaka ya nyuma walipokuwa na mchezaji aina hiyo walitusumbua sana kupitia mfumo wao wa midfield wawili wanaoshambulia....namzungumzia mchezaji aina ya david silva au KDB.....kwetu tunao watatu wachezaji aina hiyo lakini mfundishaji anazingua....kule kwetu bruno anaweza kutengeneza open chance hadi 6 kwenye mechi moja kupitia angle tofauti lakini conversion rate ikawa 0
 
PL Big Six: Valuable Passers by Zone (20/21)​

renderTimingPixel.png
mashabiki wa chelsea tuelezeeni hizi takwimu za kovacic kiufundi zaidi.
kwa nini kushoto zaidi na yeye ni midfield?
kwa nini asiwe eneo la xhaka?
==========
jawabu limeshaelezewa sehemu niliyoipata hii taarifa
1608132047351.png
 
Mashabiki wenzangu bana badala ya kujadili kilichotukumba juzi (Everton) na jana (Wolves) ni nini? Tunajiondoaje kwenye vipigo vinavyokuja, mnaishia kujadili vitu ambavyo viko nje ya uwezo wetu kwa sasa.

Timu inafungwa huko sio mwelekeo mzuri WHY tunapokea vipigo? and HOW tunabadilisha upepo?.
Mkuu mbona iko open kabisa ni swala la Lampard aamue kubadilika badala ya kumuanzisha Kai amuanzishe Kovacic acheze na Mount na Kante. Hapo hakutakua na uchawi zaidi ya kusubiria uahindi na hapo mabadiliko yatakua ni madogo madogo tu.
 
PL Big Six: Valuable Passers by Zone (20/21)​

renderTimingPixel.png
mashabiki wa chelsea tuelezeeni hizi takwimu za kovacic kiufundi zaidi.
kwa nini kushoto zaidi na yeye ni midfield?
kwa nini asiwe eneo la xhaka?
==========
jawabu limeshaelezewa sehemu niliyoipata hii taarifa
View attachment 1651670
Imo:- Nahisi ni kudhiba nafasi pindi chilwel anapokuwa amepanda kushambulia
 
Dogo ,bado una nafasi kubwa ya kujifunza kutoka kwangu.....Mimi situkanagi mtu na Kama Kuna comment yangu ya matusi umeiona mahala popote iscreenshoot weka hapa,

Enjoy soccer.
Kweli shetani hugeuka kuwa malaika akianza kuzeeka, kauli ya kuita watu "takataka au Chelt**o" ni nani huwa anaongoza kutamka humu mara kwa mara zaidi ya wewe mwenyewe tu?

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Dogo ,bado una nafasi kubwa ya kujifunza kutoka kwangu.....Mimi situkanagi mtu na Kama Kuna comment yangu ya matusi umeiona mahala popote iscreenshoot weka hapa,

Enjoy soccer.
Afu hata hapo ulipooniita mi dogo pia huna addabu, unajua hatujuani umri humu? unawezakuta mi ni Baba yako ilihali unaniita kibangi bangi tu, ebu kua kiakili basi Chifu ebo!

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
hapo kwa ole kama atashindwa kujijenga muda huu sidhani kama ataweza kuwa mwalimu bora hapo mbeleni akielekea miaka 50, baada ya kustahafu soka alianzia career yake ya ukufunzi pale united reserve team, baadae akaelekea cardiff na molde na zote hizo ni timu ndogo sana kipresha,

kivyoyote bwana huyu alikuwa na muda mzuri sana wa kujijenga professional kwenye hiyo career yake ya ufundishaji huko alikotkea, now yupo united timu inayompa kila kitu anachokihitaji na still ameshindwa kudeliver matokeo bora na soka bora ndani ya uwanja licha ya uzoeefu aliokuwa nao, kibaya zaidi timu anayofundisha inamfanya muda wote awe na presha kubwa sana inayochangizwa na uhitaji wa matokeo bora yatakayoweza kurudisha morali ya ushindani wa makombe.

media zinamuandama, mashabiki wanamuandama, wawekezaji wanamuangalia yeye na huku umri ukiendelea kumtupa kwa sababu ana miaka 48 na bado hajajijengea heshima inayostahili itakayozifanya timu nyenginezo washawishike kuhitaji huduma yake pindi atakapoondoka united.

kama atashindwa man utd huenda itakuwa ndio mwisho wa career yake ya ukufunzi, nani atakayemuhitaji pale pale ulaya kuu(german,england, france, spain).
=========

lampard bado anajificha kwenye kivuli cha uzoefu, baada ya kustahafu soka nakumbuka alitumia muda mwingi sana kufanya kazi ya pundit tofauti na mwenzake steven gerrard aliyeelekeza nguvu kazi kwenye fani ya ukocha.

bahati ya pili alipewa timu ya chelsea wakiwa na ban ya usajili na aliweza kuwapa tiketi ya UEFA msimu huu licha ya kwamba alikuwa akipata matokeo yasioridhisha baadhi ya nyakati, kuwapa nafasi ya UEFA akiwa na wachezaji mfano wa tomori, zouma, mount, abraham, odoi na wengineo ni tiketi nyengine inayomfanya aendelee kuaminiwa na wapiga kelele wa pale darajani.

bahati namba 3 jamaa anafundisha timu ambayo haina presha yeyote kubwa ukiachana na mzuka wa bossi kitambi abramovich, chelsea ameshapoteza mechi mbili mfululizo ila husikii legendary yeyote akimnyooshea kidole super frank, hata media za uingereza zimekuwa haziendeshi mijadala ya mara kwa mara juu yake.

kwa umri wake na cv yake ya kiuchezaji naamini anaweza kupata offer nyengine baada ya kuondoka chelsea, hivyo basi nakubaliana na wewe super frank bado ana nafasi zaidi ya kujijenga.

jana nilibahatika kuangalia mechi ya chelsea
  • lampard huongozwa na mazoea: hafanyi sub kwa sababu ya kiufundi bali huongozwa na mazoea, nimepitia forum thread nyingi za chelsea kwa kuanzia hapa mpaka reddit nipate kujifunza angalau dhumuni la kuingizwa abraham baada ya kutolewa giroud lakini hakuna aliyeweza kuja na tactical analysis yeyote.
  • timo werner ataendelea kulose possession ovyo kila mechi kama ataendelea kuchezeshwa pembeni, jamaa ni mweupe sana anapokuwa mbali ya goli. kama kocha anawajibika kumtafutia werner eneo sahihi la kiuchezaji, kule germany hakuwahi kuzipata goli 20 kwa kutokea pembeni
  • sitaki kumzungumzia kai harvetz, eneo lake sahihi linajulikana....tafuteni mechi dhidi ya crystal palace japokuwa hakuchangia goli lakini alicheza vizuri sana na ulegevu wake
  • chelsea wanapocheza na giroud mentality yao kubwa ni mpira wa krosi
  • hivyo basi chelsea wanahitaji mchezaji mwenye kuuelewa mchezo pindi wanaposhambulia, majirani zetu man city wanateseka sana kipindi hichi kumkosa mchezaji mwenye sifa hizo, miaka ya nyuma walipokuwa na mchezaji aina hiyo walitusumbua sana kupitia mfumo wao wa midfield wawili wanaoshambulia....namzungumzia mchezaji aina ya david silva au KDB.....kwetu tunao watatu wachezaji aina hiyo lakini mfundishaji anazingua....kule kwetu bruno anaweza kutengeneza open chance hadi 6 kwenye mechi moja kupitia angle tofauti lakini conversion rate ikawa 0
Nakubaliana na wewe

Sababu ya werner kucheza pembeni ni kutokana na injury za wachezaji wa pembeni, hapo inamfanya lamps amtumie werner kama rw mda mwingine kama lw

Katika kipindi hichi ambacho ana injury ya ziyech na odoi ingefaa zaidi abadilishe mfumo ili werner arudi kati,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom