Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea haven’t been able to beat a top 12 side this season despite having spent over £200m+ .
 
Will Jr na Dully nao ni mashabiki wa Chelsea? hivi unaandika maelezo yako kwa utashi wa kufikiri au mahaba kwaajili ya kutetea timu yako Arse8?

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Dogo ,bado una nafasi kubwa ya kujifunza kutoka kwangu.....Mimi situkanagi mtu na Kama Kuna comment yangu ya matusi umeiona mahala popote iscreenshoot weka hapa,


Enjoy soccer.
 
Chelsea najua haina kocha Man city nao vipi
Sisi City tatizo ni moja

Kwanza hatuchez tik-tak style tena, pep alishagundua kuwa wameshajulia, anaishia possession ,japo kuna baadhi ya kocha hawamuwezi ,hili inatakiwa alijue,! J

Kdb anapiga Cross kumwaga pale kati, hakuna finisher wazuri kwa cross zinazotoka pemben


Jana tumepoteza game kiujinga kabisa


Any way next ni saton

433 inafaa na kupress kwa nguvu saton atakufa tu

3 consecutively win tunakaa on top

5 Point very small gap
 
Katika uzi wenu humu humu kuna shabiki wa Chelsea anatukana. Nikimjibu utasema "Castr shabiki wa Arsenal ana matusi" lakini hapana itakua nimejibu mtu mwingine.

Kuna shabiki wa chelsea alikua anawaza akaingia uzi wa watu akaandika matusi mwanzo mwisho. Arsenal fans tukakubaliana kumuignore.

Nafikiri amekua ignored sehemu nyingi as kuna id mpya inadaiwa ni yake.

Mashabiki wa city na chelsea ndiyo wanaweza ingia uzi wa timu nyingine na kufikia kutukana.

Mkuu hebu acha kuficha makucha yenu. Juzi nimeenda jukwaa la Man utd nikaandika kejeli kama ambavyo wao huwa wanafanya majukwaa mengine. Nakugakikishia sikutukana mtu ni issue kuhusiana na draw ya UEFA na EL kilichotokea baada ya hapo ni matusi pamoja na personal attack.

Mara ngap Dully na wenzake wanakuja humu kuanzisha matusi halafu saiv unasema sisi ndio watukanaji. Kheri ukasema baadhi lakini kauli yako imegeneralize kitu ambacho sio fair.
 
Sasa hivi humu kumekuwa na nidhamu baada ya Everton na Wolves kuwa expose.

Kabla mlianza kujigamba eti mnamtaka Bayern UEFA.

Tukutane weekend dhidi ya Westham.
 
Age sidhani. Am not even 27 yet lakini matusi kwangu siyo option.
Kuna siku nilikua naongea na Don Clericuzio accidentally nikapoint sababu ya liver kua humble same kwa man u.

Ni ngumu sana timu inayofanya hovyo iwe na mashabiki jeuri wenye matusi.

Chelsea kabla ya 2003 haikua timu yenye malengo na makombe, mashabiki wengi walioingia pale hawajawahi jua uchungu wa kukaa misimu 30+ kusubiri kombe.

Hawajawahi kushika nafasi ya 6, 8 na 7 kwa misimu zaidi ya 5. Ni mashabiki mmekuta timu inaperform kizingiti chochote Roman anakivuka kwa kumwaga mpunga. Mashabiki wanaojua kushangilia na kutukana tu, no time kuangalia chochote logically.

Hilo lipo kwa mashabiki wa City pia. Kuna huyu Pain killer tangu juzi anatukana watu na akiahidi kumfunga west brom baada ya kusuluhu kayeyuka humu.

So humbleness inakuja kwa kusugulishwa sana chini. Nakuahidi when Arsenal is done na hiyo project yao utakuta mashabiki wasio na matusi wanaongezeka zaidi.
 
will franks make it through this?
waheshimiwa hii ratiba yenu ya mwezi february hadi machi haitowapa mteremko au ahueni ya kujiandaa vilivyo dhidi ya atletico madrid, matokeo yenu yasiofurahisha dhidi ya timu zilizopo kumi bora msimu huu zinaifanya hii ratiba iwe na mvuto zaidi hususani kwetu sisi wapinzani.

bila ya kuisahau december, boxing day, mwaka mpya, kombe la fa, carling cup.

20/2 Southampton - Chelsea
23/2 Atletico Madrid - Chelsea
27/2 Chelsea - Man United
6/3 Chelsea - Everton
13/3 Leeds - Chelsea
17/3 Chelsea - Atletico Madrid
21/3 Liverpool - Chelsea
 
will franks make it through this?
waheshimiwa hii ratiba yenu ya mwezi february hadi machi haitowapa mteremko au ahueni ya kujiandaa vilivyo dhidi ya atletico madrid, matokeo yenu yasiofurahisha dhidi ya timu zilizopo kumi bora msimu huu zinaifanya hii ratiba iwe na mvuto zaidi hususani kwetu sisi wapinzani.

bila ya kuisahau december, boxing day, mwaka mpya, kombe la fa, carling cup.

20/2 Southampton - Chelsea
23/2 Atletico Madrid - Chelsea
27/2 Chelsea - Man United
6/3 Chelsea - Everton
13/3 Leeds - Chelsea
17/3 Chelsea - Atletico Madrid
21/3 Liverpool - Chelsea

Kwa hiyo wanaopanga ratiba wameona watupange na Chelsea akiwa ameshatolewa UEFA?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom