Kinumbo
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 3,188
- 5,810
Majeruhi wangapi, acha kutujaza ujinga.
Kwa majeruhi alionao hauoni kama amefikiri zaidi kuliko sisi?
Kwa majeruhi alionao hauoni kama amefikiri zaidi kuliko sisi?
Wakati anaipeleka timu top four wachezaji gani alikua akiwategemea?Majeruhi wangapi? Zaidi ya Ziyech?. Ina maana timu haiwezi kuperform vizuri kwa kumkosa mchezaji mmoja? Ina maana Ziyech akipata injury miezi 2 tutafungwa mechi zote?
Labda useme Lampard anategemea uwezo wa wachezaji kuliko mbinu zake.
Kwa majeruhi alionao hauoni kama amefikiri zaidi kuliko sisi?
Punguza ukali.Majeruhi wangapi, acha kutujaza ujinga.
Bob hebu punguza hasira.Loserkuku wanamajeruhi wangapi na bado kila siku wanacheza vizuri tena sana tena wanapata ushindi.
Chelsea ni arsenal ya blueBob hebu punguza hasira.
Liva kwa misimu mitatu in a row ina kikosi kimoja tu.
Katika hicho kikosi chao najua majeruhi ni beki na some players ambao walikua ingizo jipya labda unitajie wengine.
Liva hawategemei kiungo kuanzisha mshambulizi badala yake wao kiungo ni kwa ajili ya kukaba na kuwapa mipira fullbacks au rwf na lwf mane na salah. Fullbacks ili kutoa assisst na rwf na lwf kwaajili ya kuscore.
Yaani chelsea haiwezi jifananisha uchezaji na liver
Loserkuku wanamajeruhi wangapi na bado kila siku wanacheza vizuri tena sana tena wanapata ushindi.
Hahahhah wajikaze tu hakuna jinsi.Sifa kubwa ya washabiki ni unafiki, mkija kwenye thread ya Liverpool mnaongea uharo na kuiponda team.
Mkiwa huku kwenu mambo yamewawea magumu, mnamtumia Liverpool kama mfano wa kuigwa.
Alifungwa na timu gani?Wakati anaipeleka timu top 4, top 6 ya wakati ule ilikuwa dhoofu ilihali, Chelsea alifungwa karibia mechi 4 mfulilizo still aliendelea kubaki top 4.
Baba mbona unazunguka. Odoi siyo majeruhi?Sema jana hukuangalia mechi 1st half ball position Chelsea 70 ubunifu na speed vilikosekana tungemaliza mechi mapema.
Siku zote navyoamini kocha anapofanya sub ni kubadilisha mbinu au mfumo au kuboresha uchezaji kuongeza speed na ubunifu lakini sub za jana ndio kwanza timu ililemewa
Hahaha ila wewe jamaa bwana.1 Ziyech = 35 Odoi
Mim ni mshabiki wa chelsea ila katika kitu nilichokigundua Mashabiki wengi wa chelsea wanashindwa kufanya argument kwa logic na wanaishia kutukanaPunguza ukali.
Kama unaona hauwezi kujadili logic subiri hasira zipungue chief
Jana tim nzima imecheza hovyo hata baada ya sub hakuna chochote kilichokuwa kinafanyikaSema jana hukuangalia mechi 1st half ball position Chelsea 70 ubunifu na speed vilikosekana tungemaliza mechi mapema.
Siku zote navyoamini kocha anapofanya sub ni kubadilisha mbinu au mfumo au kuboresha uchezaji kuongeza speed na ubunifu lakini sub za jana ndio kwanza timu ililemewa
Ukiingia uzi wowote wa mpira ukakuta matusi ni shabiki wa chelsea ndiye atakua anatukana watu.Mim ni mshabiki wa chelsea ila katika kitu nilichokigundua Mashabiki wengi wa chelsea wanashindwa kufanya argument kwa logic na wanaishia kutukana
Huwa napenda sana thread za liverpool na man utd kule huwezi kuta watu wanatukana kama humu