Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Timu yangu hii bado kabisa kuwa title contender, tunacheza kawaida sana, no proper game plan, no tactics.

Kocha na wachezaji bado wana kazi kubwa sana ya kufanya mazoezini.

I think Coach and players are eating salary free
Hakuna kocha hapo japo tukisema mnatuita plastic fans nadra sana timu kushinda kwa tactical switch kutoka kwa kocha
 
Lampard bado ni small team coach..

Kuna theory rahisi sana ya mpira
"Never change a winning team"

Sasa pattern ya kante, kova na mount imekupa matokeo mazuri gemu kibao afu unaibadilisha kirahisi rahisi tu .

Eti unataka uaminishe watu kua unaeza fanya rotation na ukashinda...

Kingine, havertz anatakiwa abadilike, hajitumi ,, very weak link kwenye timu yetu..
Hana faida tukiwa na mpira na pia tusipokua na mpira..

Angetakiwa apigwe benchi awe anaingia timu ikishapata matokeo,, hadi atakapo kua tayari kufanya 100% commitment kwa timu...
 
Chelsea the blauzi naona pole pole mnarudi kwenye nafasi zenu nacheka saaaaana hahaha
 
Pigaaaaaaaa hizi mburukenge! Mnaongea Sana kwenye majukwaa ya watu , kisa mlishinda vimechi kadhaa na clean sheets ikawa kero !

Nyie ndo mnajiita title contenders ? Bado Sana !!!

Zigo la lawama mnampa Kai, time will tell, hata huyu werner sioni maajabu Yake !! Hapa sio ujerumani !

Mkumbuke game ya kwanza Epl alisema mabeki wana nguvu na warefu Sana , yes aliona mbali !!!

Ati Nini Eduardo hafungwi ???
Piga Sana mpka mpoteane, Thanks Nuno E,S!,, leo nalala usingizi muruaaaaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom