Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hii ni best comment ever.

Tayari winning team ilishaanza kuonekana best combinations Mount - Kante- Kovacic hawa jamaa wakicheza pamoja dimba la kati wanalimiliki.

Lampard una mpanga Harvetz wa nini? Mchezaji yupo yupo tuu uwanjani hana P.o BOX. Kwenye kukaba anasindikiza kwenye kushambulia anapoteza mipira ovyo, hana nguvu, hana kasi.

Jana kikosi kingekuwa hivi:-

Werner/Pulisic - Giroud/Werner - James

Mount - Kante - Kovacic

Chilwell - Thiago - Zouma - Azipu

Timu inakuwa na ubunifu kulingana na kocha unavyopanga kikosi, timu inakuwa na morale kwa aina ya wachezaji wanaopangwa.

Timu inacheza flat 1st half & 2rd Half, mechi tungeimaliza 1st half, kipindi cha pili kilikuwa cha ovyo ovyo hata pale Traore ameumia timu haitumii advantage ya gap ndio kwanza wanaongeza utopolo.

Timu kama Liverpool lile gap la Traore kuumia wanaongeza kasi ya mashambulizi wanapata goli.

Chelsea sio title contender bali ni wasindikizaji, title contender anacheza kibingwa, kimbinu, kimipango na sio lelemama jama jana tuombe Mungu tumalize top 4.
badooooo mtaenda mpaka 4 loss in a rowwwwww
 
Kai na Kepa utofauti wao ni nafasi wanazocheza tuu lakini kila kitu vilivyobaki ni sawa tuu
 
Ukiingia uzi wowote wa mpira ukakuta matusi ni shabiki wa chelsea ndiye atakua anatukana watu.

Majukwaa ya mpira yanaongoza kwa kuwa na watu wastaarabu, sema kuna wachache huwa hawakosekani kwenye Jamii na wako kila timu.

Hapo sijazungumzia washabiki wa Simba na Yanga, maana hao huwezi jua mzima nani kichaa nani.
 
Mim ni mshabiki wa chelsea ila katika kitu nilichokigundua Mashabiki wengi wa chelsea wanashindwa kufanya argument kwa logic na wanaishia kutukana
Huwa napenda sana thread za liverpool na man utd kule huwezi kuta watu wanatukana kama humu
Liverpool nitakuelewa ila siyo Mwantesa United ambapo kuna kila aina ya uchafu wa maneno sababu ndiyo timu yenye mashabiki wengi duniani, note "kwenye msafara wa mamba kenge hawakosekani"

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Mim ni mshabiki wa chelsea ila katika kitu nilichokigundua Mashabiki wengi wa chelsea wanashindwa kufanya argument kwa logic na wanaishia kutukana
Huwa napenda sana thread za liverpool na man utd kule huwezi kuta watu wanatukana kama humu
Kuna siku nilikua naongea na Don Clericuzio accidentally nikapoint sababu ya liver kua humble same kwa man u.

Ni ngumu sana timu inayofanya hovyo iwe na mashabiki jeuri wenye matusi.

Chelsea kabla ya 2003 haikua timu yenye malengo na makombe, mashabiki wengi walioingia pale hawajawahi jua uchungu wa kukaa misimu 30+ kusubiri kombe.

Hawajawahi kushika nafasi ya 6, 8 na 7 kwa misimu zaidi ya 5. Ni mashabiki mmekuta timu inaperform kizingiti chochote Roman anakivuka kwa kumwaga mpunga. Mashabiki wanaojua kushangilia na kutukana tu, no time kuangalia chochote logically.

Hilo lipo kwa mashabiki wa City pia. Kuna huyu Pain killer tangu juzi anatukana watu na akiahidi kumfunga west brom baada ya kusuluhu kayeyuka humu.

So humbleness inakuja kwa kusugulishwa sana chini. Nakuahidi when Arsenal is done na hiyo project yao utakuta mashabiki wasio na matusi wanaongezeka zaidi.
 
Will Jr na Dully nao ni mashabiki wa Chelsea? hivi unaandika maelezo yako kwa utashi wa kufikiri au mahaba kwaajili ya kutetea timu yako Arse8?

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Katika uzi wenu humu humu kuna shabiki wa Chelsea anatukana. Nikimjibu utasema "Castr shabiki wa Arsenal ana matusi" lakini hapana itakua nimejibu mtu mwingine.

Kuna shabiki wa chelsea alikua anawaza akaingia uzi wa watu akaandika matusi mwanzo mwisho. Arsenal fans tukakubaliana kumuignore.

Nafikiri amekua ignored sehemu nyingi as kuna id mpya inadaiwa ni yake.

Mashabiki wa city na chelsea ndiyo wanaweza ingia uzi wa timu nyingine na kufikia kutukana.
 
Kuna huyu Pain killer tangu juzi anatukana watu na akiahidi kumfunga west brom baada ya kusuluhu kayeyuka humu.

It comes with age pia, wengi wa Chelsea na City siyo aged kama Arsenal, Liverpool na United.

Huyu mwamba Pain killer nafikiri ana tatizo zaidi ya ushabiki wa mpira.

Kuna dogo wa Man Utd anaitwa Gpili, kuna kurzawa, kuna The BOSS1; hawa ni baadhi ambao ni serious cases. Post 3 mbili ni matusi.

Hata kama tunataniana, kuna namna ambayo utani unatakiwa kuwa wa kiheshima.
 
It comes with age pia, huyu mwamba nafikiri ana tatizo zaidi ya ushabiki wa mpira.

Kuna dogo wa Man Utd anaitwa Gpili, kuna kurzawa, kuna The BOSS1; hawa ni baadhi ambao ni serious cases. Post 3 mbili ni matusi.

Hata kama tunataniana, kuna namna ambayo utani unatakiwa kuwa wa kiheshima.
Age sidhani. Am not even 27 yet lakini matusi kwangu siyo option.
 
Age sidhani. Am not even 27 yet lakini matusi kwangu siyo option.

Nakuelewa.

Ni vitu vingi vinasababisha mtu kuwa hivyo.

Ukikuta mtu mwenye 35 plus anaandika matusi kama ya hao jamaa nilio walist, ndo utajua kwamba ni case kubwa zaidi.

At 16 - 24 ni age ambayo kujua kutukana ni pride, lakini kuna age ukishaanza kujichanganya na majukumu na kukaa na watu wa rika tofauti na yako, tamaduni tofauti, background tofauti na positions tofauti unajikuta unakuwa unaelewa maana ya kumpa heshima kila mmoja.
 
Yule Kai Havertz endapo angekua mchezaji wa ManUtd kelele za wachambuzi sijui ingekuaje
Screenshot_20201216-094805.jpeg
 
Hii timu hainatofauti na gwambina fc

Mnafungwa na wolves dakika za mwisho??

Zile beki kazi yao ni kukata viuno tu
 
Aggressiveness ndicho Chelsea wanamiss kwa sasa ukiondoa mtu creative kama Ziyech kule mbele
Yaani wanakosa vitu viwili

  1. Creativeness kule mbele
  2. Aggressiveness kwa wachezaji wote na hii ni makosa wa kocha, approach ya Lampard amekazia tu kwenye pasi za haraka bila kuangalia kuwa mchezaji anatakiwa kuwa agressive ili aweze kufanyia lolote mpira akiwa nao na pia aweze kuutwa tena mpira akinyang'anywa
 
Poléni watu wa darajani, nadhani hadi Dec 31 mnaweza kuwa huko tuliko. Nawaombea sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom