Northman
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 1,587
- 2,518
Ndo kipigo kinachofuata baada ya hiki cha leo [emoji23][emoji23]Hivi bado hajacheza na Westham?
Ndo kipigo kinachofuata baada ya hiki cha leo [emoji23][emoji23]Hivi bado hajacheza na Westham?
Havertz na Abraham kwann wasipelekwe U23 huko
Huyo ni papaa Gx [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!Unaonekana kama umeumia sana mkuu.
Pole sana
Papaa GX pole sana mkuu, naona umepiga maksi sorry mask.Havertz tumepigwa tena ngumi za uso
Huyu Werner ni suala la mda tu
Lampard hafai kuwa Chelsea
Ata mniite plastic fan lakin ukweli ndio huo.
Mm naomba tupigwe mechi 10 mfululizo ili kibiyongo Lampard aondoke.
Kauli hiyo inamaanisha Chelsea ni timu ndogo
Vipi tumletee pep au ole??Havertz tumepigwa tena ngumi za uso
Huyu Werner ni suala la mda tu
Lampard hafai kuwa Chelsea
Ata mniite plastic fan lakin ukweli ndio huo.
Mm naomba tupigwe mechi 10 mfululizo ili kibiyongo Lampard aondoke.
Kaze ni bora zaidi ya Lampard na ArtetaHavertz tumepigwa tena ngumi za uso
Huyu Werner ni suala la mda tu
Lampard hafai kuwa Chelsea
Ata mniite plastic fan lakin ukweli ndio huo.
Mm naomba tupigwe mechi 10 mfululizo ili kibiyongo Lampard aondoke.
Hahaaa tuliza mshono huu ni mwanzo tuLAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tatizo la Chelsea ni Lampard full stop.
Bora Arsenal wanalia na uongozi wao kwa kushindwa kutoa hela ili wasajili wachezaji wazuri. Sasa sisi Chelsea tunaweza kweli mlaumu boss kwa kushindwa kutoa pesa? Jibu ni bigi NO, Lampard kapewa kila alicho taka lakini ni upuuzi tu anafanya kila uchwao. Tizama Arteta ata kama ana wachezaji wenye kiwango cha chini lakn unaona kile anafanya uwanjani.
Lampard ki mbuni ni bure kabisa alafu ana ujinga sana. Hivi kweli unamtoa Giroud kisha inaingiza takataka Abraham kweli, yaani ningekuwa karibu na Lampard ningemuwasha kofi boya yule.
Acha masikhara.LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT LAMPARD OUT
Umesema Lampard ki mbuni ni nini?Tatizo la Chelsea ni Lampard full stop.
Bora Arsenal wanalia na uongozi wao kwa kushindwa kutoa hela ili wasajili wachezaji wazuri. Sasa sisi Chelsea tunaweza kweli mlaumu boss kwa kushindwa kutoa pesa? Jibu ni bigi NO, Lampard kapewa kila alicho taka lakini ni upuuzi tu anafanya kila uchwao. Tizama Arteta ata kama ana wachezaji wenye kiwango cha chini lakn unaona kile anafanya uwanjani.
Lampard ki mbuni ni bure kabisa alafu ana ujinga sana. Hivi kweli unamtoa Giroud kisha inaingiza takataka Abraham kweli, yaani ningekuwa karibu na Lampard ningemuwasha kofi boya yule.
Ila nyinyi nawapendaHii ni best comment ever.
Tayari winning team ilishaanza kuonekana best combinations Mount - Kante- Kovacic hawa jamaa wakicheza pamoja dimba la kati wanalimiliki.
Lampard una mpanga Harvetz wa nini? Mchezaji yupo yupo tuu uwanjani hana P.o BOX. Kwenye kukaba anasindikiza kwenye kushambulia anapoteza mipira ovyo, hana nguvu, hana kasi.
Jana kikosi kingekuwa hivi:-
Werner/Pulisic - Giroud/Werner - James
Mount - Kante - Kovacic
Chilwell - Thiago - Zouma - Azipu
Timu inakuwa na ubunifu kulingana na kocha unavyopanga kikosi, timu inakuwa na morale kwa aina ya wachezaji wanaopangwa.
Timu inacheza flat 1st half & 2rd Half, mechi tungeimaliza 1st half, kipindi cha pili kilikuwa cha ovyo ovyo hata pale Traore ameumia timu haitumii advantage ya gap ndio kwanza wanaongeza utopolo.
Timu kama Liverpool lile gap la Traore kuumia wanaongeza kasi ya mashambulizi wanapata goli.
Chelsea sio title contender bali ni wasindikizaji, title contender anacheza kibingwa, kimbinu, kimipango na sio lelemama jama jana tuombe Mungu tumalize top 4.
Kwa majeruhi alionao hauoni kama amefikiri zaidi kuliko sisi?Yote uliyoongea hapa ndio kazi ya kocha sasa kuwapanga wachezaji kimfumo, kiuwezo na kimbinu.
Lampard yupo nje anaona mpira wote unavyochezwa ndio anatakiwa afanya hizo improvements.
Unataka kuniambia Lampard haoni hizo weaknesses? Au hajui afanye maamuzi gani kwa wakati gani?