Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,396
- 6,023
Basi mzee baba tayari BOSS1 Abraham kashasikia kilio chako na sasa hivi anam-zoom tu Lampard kwa next 3 matches only.Huyu LAMPARD bado sana kupewa majukumu ya kuifundisha timu kama Chelsea. Lampard hajui amuanzishe nani ama amtoe nani.
Yaani unakutana na Wolves kisha unamuanzisha Havertz aliye legea mithili ya mrenda kweli, yaani Havertz ni wakumpiga benchi Kovacic kweli.
Huyu Lampard anatutania sana, eti anamtoa Giroud kisha anaingia Abraham.![]()
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app





