Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hata huyu werner sio potential Yake ,,,muda utasema,,,,!

Zigo anapewa lamps na Kai! Anyways this is EPL
 
Huyu LAMPARD bado sana kupewa majukumu ya kuifundisha timu kama Chelsea. Lampard hajui amuanzishe nani ama amtoe nani.

Yaani unakutana na Wolves kisha unamuanzisha Havertz aliye legea mithili ya mrenda kweli, yaani Havertz ni wakumpiga benchi Kovacic kweli.

Huyu Lampard anatutania sana, eti anamtoa Giroud kisha anaingia Abraham.
 
Nyie fisi maji kesho muwai kuamka kujibu comments za raia
 
Tutafungwa na timu zote ila sio wale wafu wanaocheza mpira. Lazima wapate zawadi ya Christmass
Hiyo mechi ndio itaamua Lampard akafundishe Arsenal na Arteta afundishe Chelsea.

sare yoyote ile itawafuta kazi hawa Migambo wa jiji la London
 
Huyu LAMPARD bado sana kupewa majukumu ya kuifundisha timu kama Chelsea. Lampard hajui amuanzishe nani ama amtoe nani.

Yaani unakutana na Wolves kisha unamuanzisha Havertz aliye legea mithili ya mrenda kweli, yaani Havertz ni wakumpiga benchi Kovacic kweli.

Huyu Lampard anatutania sana, eti anamtoa Giroud kisha anaingia Abraham.
Kwani KAI alisajiliwa acheze mechi ya Mwadui tu mkuu JKT ruvu hapana?
 
Mmesha chezea koki za mkwez hata meseji hamtaki kujibu. Nyie mbuzi mna viburi sana
 
Havertz tumepigwa tena ngumi za uso

Huyu Werner ni suala la mda tu

Lampard hafai kuwa Chelsea

Ata mniite plastic fan lakin ukweli ndio huo.

Mm naomba tupigwe mechi 10 mfululizo ili kibiyongo Lampard aondoke.
 
Mchezaji anaitwa Kai kalegea ka punga haf utegemee kwa mchezaji kama huyo ubebe ndoo ya epl
 
Havertz tumepigwa tena ngumi za uso

Huyu Werner ni suala la mda tu

Lampard hafai kuwa Chelsea

Ata mniite plastic fan lakin ukweli ndio huo.

Mm naomba tupigwe mechi 10 mfululizo ili kibiyongo Lampard aondoke.
Bora ww umesema maana huu usajili niliuona mapema nikisema naonekana sababu rivals fan

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom