3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,885
LAMPARD OUT kesho itatawala humuNyie fisi maji kesho muwai kuamka kujibu comments za raia
LAMPARD OUT kesho itatawala humuNyie fisi maji kesho muwai kuamka kujibu comments za raia
Kwa dakika alizocheza kovacic je kuna uhai wowote ulionekana, jibu ni hapana hakuna chnces yyt tuliyotengeneza baada ya goal zaidi ya kukaba tuHuyu LAMPARD bado sana kupewa majukumu ya kuifundisha timu kama Chelsea. Lampard hajui amuanzishe nani ama amtoe nani.
Yaani unakutana na Wolves kisha unamuanzisha Havertz aliye legea mithili ya mrenda kweli, yaani Havertz ni wakumpiga benchi Kovacic kweli.
Huyu Lampard anatutania sana, eti anamtoa Giroud kisha anaingia Abraham.![]()
Sisi ambao tulijipanga kwa baada ya miaka miwili mbele unatuweka kundi gani? lkn ninachofurahi ni kuwa Bosi Abraham huwa hanaga urafiki wa kudumu akikupatia pesa za usajili afu ufeli kuleta mafanikio.nasikia mipango yenu ni kubeba Uefa sio EPL?

sahivi tumeanza kuelewanaYani sijui kama tutafanikiwa kumfunga Atletico kwa utoto wa Lampard, kiukweli leo amezingua mnoLampard bado ni small team coach..
Kuna theory rahisi sana ya mpira
"Never change a winning team"
Sasa pattern ya kante, kova na mount imekupa matokeo mazuri gemu kibao afu unaibadilisha kirahisi rahisi tu .
Eti unataka uaminishe watu kua unaeza fanya rotation na ukashinda...
Kingine, havertz anatakiwa abadilike, hajitumi ,, very weak link kwenye timu yetu..
Hana faida tukiwa na mpira na pia tusipokua na mpira..
Angetakiwa apigwe benchi awe anaingia timu ikishapata matokeo,, hadi atakapo kua tayari kufanya 100% commitment kwa timu...
Havertz tumepigwa tena ngumi za uso
Huyu Werner ni suala la mda tu
Lampard hafai kuwa Chelsea
Ata mniite plastic fan lakin ukweli ndio huo.
Mm naomba tupigwe mechi 10 mfululizo ili kibiyongo Lampard aondoke.





Nasema na badooooo badoooo na badooo 2 loss in a rowMkuu tunafurahi pa1 maana tukizidisha maombi ya kufungwa zaidi yakakubalika Alegri atatua SB kuchukua mikoba ya Lampard mahabuba wa Abraham.Jamani mtakao chimba kaburi mliweke karibu na lile la ndugu aliyefariki weekend.
Hatutasafirisha mwili.
Mkuu tunafurahi pa1 maana tukizidisha maombi ya kufungwa zaidi yakakubalika Alegri atatua SB kuchukua mikoba ya Lampard mahabuba wa Abraham.
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Naanza kuamini hata yale magoli mengi tuliyoshinda ni mbinu za wachezaji binafsi wala si ubora wa Kocha, daaah...! kweli Lampard na Havertz ni magalasa juu ya magalasa, mtu umetoka kumpiga nje ndani msimu uliopita tena kwa rundo la magoli afu leo unamuwekea kikosi tofauti kabisa cha kujaribu matokeoLampard na Kai tumepigwa ni swala la muda tuu
Unamaanisha nasisi kesho tushabikie Tottenham au tuwe pande zote 2?Kazi kuu za mshabiki ni 2 tu, kuzomea na kushangilia.
Leo niko hapa kushangilia nyie kufungwa, maana mngeshinda mngekuwa juu yetu.
Kwa dakika alizocheza kovacic je kuna uhai wowote ulionekana, jibu ni hapana hakuna chnces yyt tuliyotengeneza baada ya goal zaidi ya kukaba tu
Tukubali tu leo tumecheza hovyo kuanzia kwa timo,mount n co
Tuliuwa hatuna plan yoyote ya kutafuta goal
Unamaanisha nasisi kesho tushabikie Tottenham au tuwe pande zote 2?
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Naanza kuamini hata yale magoli mengi tuliyoshinda ni mbinu za wachezaji binafsi wala si ubora wa Kocha, daaah...! kweli Lampard na Havertz ni magalasa juu ya magalasa, mtu umetoka kumpiga nje ndani msimu uliopita tena kwa rundo la magoli afu leo unamuwekea kikosi tofauti kabisa cha kujaribu matokeo
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Lakini kuchagua wachezaji kiusajili anajua kweli mbali na Kai Havertz, sema tu kashindwa kuwa na mbinu mbadala wa kubadilika kulingana na adui anayekutana naye.Havertz tumepigwa tena ngumi za uso
Huyu Werner ni suala la mda tu
Lampard hafai kuwa Chelsea
Ata mniite plastic fan lakin ukweli ndio huo.
Mm naomba tupigwe mechi 10 mfululizo ili kibiyongo Lampard aondoke.
Safi mrembo, usiende kwa nyekundu kama vibaka wanyonya damuKuna team kuzishabikia ni lazima uwe na moyo wa spare sababu maumivu yake ni zaidi ya kukosa msosi shughulini..!!
anyways, blue will always be my colour..!!