





Ni ngumu sana.. hata Kai Havartz amenyoosha mikonoEpl ngumu sana ile ligi.....



mmekimbia jukwaa !Game ya leo hata baada ya sub ya kai hakuna chochote tulichokifanya, hakuna hata uhai ulioonekanaLampard bado ni small team coach..
Kuna theory rahisi sana ya mpira
"Never change a winning team"
Sasa pattern ya kante, kova na mount imekupa matokeo mazuri gemu kibao afu unaibadilisha kirahisi rahisi tu .
Eti unataka uaminishe watu kua unaeza fanya rotation na ukashinda...
Kingine, havertz anatakiwa abadilike, hajitumi ,, very weak link kwenye timu yetu..
Hana faida tukiwa na mpira na pia tusipokua na mpira..
Angetakiwa apigwe benchi awe anaingia timu ikishapata matokeo,, hadi atakapo kua tayari kufanya 100% commitment kwa timu...
Mkuu umeongea ooint nzuri sana. Japo sijaangalia mpira ila uwepo wa Kante na Kova kwny midfield ni advantage kubwa sana kwetu. Halafu Mount na Kai wote ni attacking midfield wanacheza pamoja ina maana unataka ushambulie tu huku ukiacha space kubwa kuzima mashambulizi ya mpinzani. Hawa watoto wakicheza pamoja Kante anakua na kazi kubwa zaidi na inakua advantage kwa timu pinzani nadhani hapo ndipo Wolves walipotuwezeaLampard bado ni small team coach..
Kuna theory rahisi sana ya mpira
"Never change a winning team"
Sasa pattern ya kante, kova na mount imekupa matokeo mazuri gemu kibao afu unaibadilisha kirahisi rahisi tu .
Eti unataka uaminishe watu kua unaeza fanya rotation na ukashinda...
Kingine, havertz anatakiwa abadilike, hajitumi ,, very weak link kwenye timu yetu..
Hana faida tukiwa na mpira na pia tusipokua na mpira..
Angetakiwa apigwe benchi awe anaingia timu ikishapata matokeo,, hadi atakapo kua tayari kufanya 100% commitment kwa timu...





!!! Mmepoteana Kama mmemwagiwa upupu , na bado ! Next stop hammers, ile mijamaa ina miguvu ,, high pressing , kina Kai wataomba maji ya kunywa 

Wolves wamekataa kutoa droo na timu ya Lampard na masai wake Abraham.Daaa leo mpira imewakataa wachezaji aisee. Bora tutoe hata droo tu♀️
♀️
Alhamisi tunampita Chelsea kama wamesimama maana Sheffield United kazi ni ndogo tu..na bado tuna mechi mkononiPigaaaaaaaa hizi mburukenge! Mnaongea Sana kwenye majukwaa ya watu , kisa mlishinda vimechi kadhaa na clean sheets ikawa kero !
Nyie ndo mnajiita title contenders ? Bado Sana !!!
Zigo la lawama mnampa Kai, time will tell, hata huyu werner sioni maajabu Yake !! Hapa sio ujerumani !
Mkumbuke game ya kwanza Epl alisema mabeki wana nguvu na warefu Sana , yes aliona mbali!!!
Ati Nini Eduardo hafungwi ???
Piga Sana mpka mpoteane, Thanks Nuno E,S!,, leo nalala usingizi muruaaaaa!
Kinyume chake.. Mkeka umelowa ndugu



Yan hapo ndio atatukana mpaka kesho kutwaWataomba maji na lesoWachambuZi uchwara waje hapa , wazee wa formations ?!!! Mmepoteana Kama mmemwagiwa upupu , na bado ! Next stop hammers, ile mijamaa ina miguvu ,, high pressing , kina Kai wataomba maji ya kunywa
![]()
Tutafungwa na timu zote ila sio wale wafu wanaocheza mpira. Lazima wapate zawadi ya ChristmassTumetiwa kidole, na bado arsenal na ubovu wake watatutia.
Lampard ni kilaza sana, kweli hata kama ni mahaba kwa Abraham diyo kumtoa Giroud mechi ngumu kama ile ili utopolo uingie? Furahini washabiki wa timu zote tena narudia furahini sana.Alhamisi tunampita Chelsea kama wamesimama maana Sheffield United kazi ni ndogo tu..na bado tuna mechi mkononi
Ole na Frank tofauti yao miondoko tu lkn uwezo ni huu huu.Alhamisi tunampita Chelsea kama wamesimama maana Sheffield United kazi ni ndogo tu..na bado tuna mechi mkononi
Waone Arse8 wakupatie dawa ya kutokuuma maana wao wameshaota sugu kwa kufungwaInauma sana
![]()