Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,025
- 27,365
Hata asipofunga sisi tunaelewa kwa nn yuko paleGiroud baada ya game 2 kufunga goli 5 naona sasa hivi amekuwa regular kwenye starting role.
Huyu jamaa hana maajabu yoyote, subirini apitishe mechi 10 bila goli ndo mtaelewa.