Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,524
- 203,271
😆Naona Giroud ananiharibia hapa.
😆Naona Giroud ananiharibia hapa.
Majina ya kina Daniel uwa wanamatatizo sana 😂1-1 podence
Mrembo kama wewe unashabikia chelsea?..njoo united bana,tukununulie na ile jezi yetu nyeupe upendeze
Mrembo kama wewe unashabikia chelsea?..njoo united bana,tukununulie na ile jezi yetu nyeupe upendeze
Ile ya pundamilia? Kama ni jezi tu heri niende za ArsenalMrembo kama wewe unashabikia chelsea?..njoo united bana,tukununulie na ile jezi yetu nyeupe upendeze
Hahaha..akipokea kichapo darajani anakimbilia kwa vijana wa KlopHuyu ana timu mbili, Liverpool na Chelsea.
Sasa anasema Liverpool ni mchepuko eti.
Yaah,jezi ya Arsenal kali,sema vichapo vyake sasa..ukivaa mtaani watu watakushangaaIle ya pundamilia? Kama ni jezi tu heri niende za Arsenal