Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Next Five Games:

Wolves (A), Westham (H), Arsenal (A), Aston Villa (H) and Man City (A).

Hapo natabiri kwamba mtapoteza points walau 6. i.e 3 wins 2 losses, au 2 wins, 2 draws na 1 loss.
Asante sana Nabii wa wapi tena?. Nitakutafuta unitabirie na mambo yangu hayaendi vizuri
 
Everton jana walicheza na mentality ya ushindi tofauti na Chelsea, hasa katikati na mbele hawakuwa na mentality ya ushindi kama game zingine. Pamoja na injuries na wachezaji wa mbele kucheza out of position, factor nyingine ndio hiyo ya mentality na creativity au mabeki wa Everton waliwanyamazisha, may be
 
Hii timu imemiliki mpira kwa 70%+ lakini imeshindwa kucreate big chance hata moja. Timu nyingine ambayo jana haijacreate big chance hata moja ni man u. Unadhani ni coincidence?

Mimi nasema hapana.

Zote zinafundishwa na former players ambao hawana uzoefu na ukocha. Muda mwingine unakua hauchezi na timu unakua unacheza na kocha.

Ukikutana na Everton au Tottenham ya sasa wewe uko kwenye mapambano na kocha. So msinune wala msiteseke ndiyo sababu walivyokutana ole na frank ikawa sare (tena ya bila kufungana) wakati ukiangalia kikosi unaona magoli yangetiririka plus ile namba 3 ya mdhamini ingekua ni bandika bandua.

Kumbe wanabahatisha.
We jamaa mpira uliangalia wapi? Hawajacreat big chance hata moja?
 
Everton jana walicheza na mentality ya ushindi tofauti na Chelsea, hasa katikati na mbele hawakuwa na mentality ya ushindi kama game zingine. Pamoja na injuries na wachezaji wa mbele kucheza out of position, factor nyingine ndio hiyo ya mentality na creativity au mabeki wa Everton waliwanyamazisha, may be
Jana tulikosa watu ambao wanaweza wakawavuta mabeki wa tim pinzan na kuruhus nafasi

Ukiangalia game ya leeds ziyech aliweza kuwavuta player wawili wa leeds na kufanya reec james awe na nafasi ya kupiga cross

Ila jana kulikuwa hakuna player yyt anayeweza kukaa na mpira na wacheza wawil wa tim pinzan wakamfata
 
Hapa upo sawa kabisa. Makocha hawana uzoefu wanaishia kutegemea ubora wa wachezaji.

Injuries za Liverpool, Klop anakupangia mchezaji yoyote still timu inashinda kwa mbinu zake. Sisi tunawakosa wachezaji wawili tuu kikosini timu haipati matokeo.

Lampard atengeneze mfumo wa ubingwa ambao kila mchezaji atakayepangwa anadeliver kilicho bora
Kutengeneza huo mfumo ni mpaka iwe unaujua na Lampard haonekani kufahamu mengi katika mikakati ya ushindi. Yeye anataka kuendelea kasajili wachezaji wakubwa mpaka siku wachezaji wenyewe watengeze combination.
 
Hevertz ni mzigo...haendani kabisa na soka la Chelsea.......Chelsea wanacheza kwa speed na usharp wa maamuzi......

Afundishwe namna ya kucheza kwa speed bha a Kama hawezi apigwe mkopo
 
Hamkuzuiwa kuja, hii ni open forum.

Mkitaka tusije tengenezeni group la WhatsApp au Telegram.
Open forum pale tu Chelsea FC ikifungwa ilihali ikishinda hakuna hata anayeonekana hapa, au ninyi ndiyo wale watimizao usemi wa "maisha bila unafki hayaendi"? hahaaa...haya endelea kutupatia za uso ili nasi tuje tuwakilishwe na kamati ya roho mbaya wenzio wanaohangaikaga ktk uzi wenu wa Liverpool FC.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Liverpool aliwakosa wachezaji kibao kwa injuries still alikuwa anashinda kibingwa tena mechi ngumu kwa kuwatumia madogo + mfumo bora + mbinu bora za Klop

Chelsea bado sana mfumo wa uchezaji, bado sana mbinu za mwalimu, bado sana quality players TUNABAHATISHA
Liverpool asilimia kubwa kocha na wachezaji walitumia uzoefu tofauti na wachezaji wa Chelsea ambapo wengi wao si wazoefu ktk epl.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo mechi moja tunayopoteza Liverpool anaishinda. Ubingwa tunauchukua vipi sasa?
Kuwa mpole kijana, 26 epl matches are still not yet to be played there, safari bado ni ndefu tena yenye milima na mabonde. Zingekuwa zimebaki mechi 10 au 8 kidogo hapo ningekuelewa.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Mimi niliwahi kusema Chelsea ina plastic kibao. Kuna mmoja alikua uzi wa liva anatukana watu walipopigwa goli moja akayeyuka juu kwa juu na huku wote wamepotea.

Wametususia maiti.

Chelsea ina plastic fans tu. Mwingine juzi anasema eti level yao kubwa wapinzani wa chelsea ni Madrid, Barcelona na Bayern. Leo anasema hua wanashinda kwa kubahatisha.

Hii timu ina mashabiki wanaoamini utatuzi ni usajili tu. Wiki nyuma mtu anakuambia wana kikosi kipana (na no kweli) leo anasema inabidi wasajili winger. Unabaki unashangaa "Huyu anaelewa nini juu ya kikosi kipana?" Hapo hapo anasema mfumo (yaani 4 3 3) imewaangusha wakati huu mfumo wametumia mara nyingi na wameshinda.
Inaonekana kile kichapo cha 7-0 toka kwa Aston Villa bado hakijakutoka rohoni maana si kwa hili povu ulilokuwa unatafutia pa kulitolea haha hahaaaaa...

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Next Five Games:

Wolves (A), Westham (H), Arsenal (A), Aston Villa (H) and Man City (A).

Hapo natabiri kwamba mtapoteza points walau 6. i.e 3 wins 2 losses, au 2 wins, 2 draws na 1 loss.
Sawa shehe Yahaya uliyepo kwenye kamati ya roho mbaya kwa utabiri ili ujikalie kileleni kirahisi tu, lkn hii nukuu tunaihifadhi kwa mechi zijazo ili ikiwa hivyo tuwe tunakutumia kwenye mikeka yetu ya kubeti.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom