juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,952
- 5,438
Hii game sidhan kama hata tutasawazisha
Kukosekana hata kwa winga mmoja kumeifanya hii game iwe ngumu
Kukosekana hata kwa winga mmoja kumeifanya hii game iwe ngumu


Formation imetumaliza, Kante akiwekwa pembeni tunazidiwa kwenye midfield kirahisi. Lampard angemaitain 433 na kante akiwa CDM hao wengine wapeleke mashambulizi mbele. Kule mbele leo kumekosa creativity kabisa
Formation ni ile ile tunayocheza siku zote,Formation imetumaliza, Kante akiwekwa pembeni tunazidiwa kwenye midfield kirahisi. Lampard angemaitain 433 na kante akiwa CDM hao wengine wapeleke mashambulizi mbele. Kule mbele leo kumekosa creativity kabisa
Na sidhan kama tutasajili winga yeyote wa dirisha hiliBila usajili wa Winga atufiki popote, winga zetu kila siku ziko gereji
Sidhan kama azplicueta angemuweza richarlison kwa pace yakeTunahitaji winger anayeweza kukusanya kijiji hatuwezi kunlock timu especially zinapoamua kupaki bus overall havertz ni liability kwa EPL ila Mourinho angukuwa kocha mapema tu angeingia Aziplicueta then James angempandisha then huyo model wa kijerumani angetoka
Leo kuwakosa Pulisic na Ziyech kwa pamoja imetucostBaada ya kelele za baadhi ya washabiki humu kuomba kukutana na Bayern nilianza kujiuliza ni game gani kubwa Chelsea amecheza akashinda!
Maana ana draw ya United na Tottenham, kafungwa na Liverpool, bado hajacheza na Leicester, Man City na Arsenal (huyu nimemweka kiheshima tu).