lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,492
Pulisic atacheza tena kulia kule hakuna winga, odoi na ziyrch nafasi zao wote majeruhiChelsea vs Everton
Ziyech
Odoi
Pulusic 50/50
Pulisic atacheza tena kulia kule hakuna winga, odoi na ziyrch nafasi zao wote majeruhiChelsea vs Everton
Ziyech
Odoi
Pulusic 50/50
Kama kikosi kitakuwa hichi nitafurahi lakini kwa mapenzi ya Lampard unaweza ukashangaa Abraham akaanza hapo mbele
Premier betting ni yenu kweli ila sio Premier league tittlePremier ya kwetu mwaka huu
Waje tu hao BARC TUWA BAKE VIZURIMasharti ya droo yanayojulikana ni
Timu haiwezi cheza na mwenzake wa group moja
Timu haiwezi cheza na mwenzake wa ligi moja
Timu zilizoshika nafasi ya pili zitacheza nyumbani kwanzan na zile zilizoshika nafdasi ya kwanza zitacheza nyumbani mechi ya marudiano
Manabii wametabiri
- RB Leipzig vs Real Madrid
- Barcelona vs Chelsea
- Atletico Madrid vs PSG
- Atalanta vs Borussia Dortmund
- Porto vs Liverpool
- Lazio vs Bayern Munich
- Sevilla vs Manchester City
- Borussia Monchengladbach vs Juventus
Utoto una msumbua akikua ataaachaaUjinga tu unamsumbua
Chelsea vs Everton
Ziyech
Odoi
Pulusic 50/50
Pulisic Hana injury na Leo atachezaHuyu Pulisic kila siku ni ana majeraha tu?
Pulisic Hana injury na Leo atacheza
Angeanza nani sasa ?Kai hakufaa kuanza leo
Pulisc nilion taarifa yak hayupo fit laaam kai angeanz t thus y hata sub hayupoKai hakufaa kuanza leo
Pulisc nilion taarifa yak hayupo fit lazima kai angeanz t thus y hata sub hayupo
The boss LAMPARDPulisc nilion taarifa yak hayupo fit laaam kai angeanz t thus y hata sub hayupo
Pulisc tangu yuko Dortmund majeruh sana hyu dogoAngeanza nani sasa ?
Pulisic ndio huyo hata sub hayupo
Odoi n ziyech wote injury
Pulisc nae hyupo fit, apo upnde wa Kai awez maliza dkik tisiniPULISIC hayupo hata benchiView attachment 1648277
Kuna wachezaji Wana vipaji ila miili yao inawangusha majeruh ya mara kwa maraPULISIC tangu atue Chelsea hajawahi kucheza mechi 5 mfulilizo.