Hyo had mwsho wa msmuNdio maana juzi nilisema namuona Werner akicheza sana kushoto kuliko katikati kwa sababu Pulisic kila siku majeruhi. Labda asajiliwe winga mwingine wa kushoto kusaidiana na Pulisic ili Werner acheze katikati.
Hakuna mchezaji Chelsea nae mkubali kama pulisic, lkn injury zinanifanya nmtoe akilini.Chelsea should sell Pulisic am tired of his injuries.
Leo kule mbele ubunifu utapungua hasa cross James anacheza vizuri akiwa na ziyech ila kai lazima timu itaslow down








mzee wa maboko Mendy na amefungua pazia la maboko tusije kumlaumu baadaeHuu ndio usajili wa hasara, Kai tumepigwa n afadhali zouma acheze nafasi yake afu yeye aje bekiHuyu Havertz tumepigwa aisee
Wanamuita kataravati huyo aka chupi la mtumba.Huyu Havertz tumepigwa aisee
Kumpamba kote kule......!!Huu ndio usajili wa hasara, Kai tumepigwa n afadhali zouma acheze nafasi yake afu yeye aje beki
Binafsi cjawah kuandika namkubali KaiKumpamba kote kule......!!