John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,039
Um
Umemjibu kisomi sana safi kkKuna mashabiki wao kila kitu ni kulaumu ata kama sehm kun Zuri lazima atafute kasoro akosoe,
Watu wanamlaum kai wamesahau last season pia walkuwa wanamponda mount kuwa anapendelewa hana kitu now days ana waprove wrong watu wanajichekesha tu
Kai anahitji mda ili kuja kuwa bora sio kila mchezaji akisjiliwa ataanza kuperfom sana
, Mda upo aboreshe tu training has strength yuko weak physically but haimanishi kuwa ni mchezaji mbaya

