Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Lampard tactics vs Hans Flick tactics

Chelsea players quality vs Munich players quality
Aisee buyern hakuna mtu anayemtaka

Wale jamaa sioni saizi yao zaidi ya liverpool,liverpool ndio anaweza mpiga buyern kwa England, wengine inabid muombe dua zote,msikutane

Nyie wengine omben dua msikutane, ndio utakuwa mwisho wenu wa Safari
 
Liver mwenyw anamuogopa bayern, Bayern wa sahizi ni wa moto kuliko yule wa misimu mitatu nyuma
 
Hatua ya mtoano timu Chelsea anaweza kupewa ni zile zolizoshika nafasi ya pili
Barcelona,reizpng , Atalanta,atletico ,fc porto ,m'gladbach

Wadau yupi apo unpend tukutane nae

Kwangu mm watupe fc porto au Barcelona
Hawa wote tunawapiga kirahis mno tena mno
 
Kusonga mbele zaidi ina faida kwenye timu, tukifika fainali au hata nusu itakuwa bora zaidi kulika tukitolewa GO16 au quarter final
Mimi naamini Chelsea ina uwezo wa kufika fainali ikifeli kabisa nusu fainali. Form ya Timo, Pulisic na Ziyech na wachezaji wengine muhimu ikipanda na kuepuka injury ndoo tunabeba
 
Next stage inaweza isiwe ngumu sana especially kama umeongoza kundi, ila stage zote zilizobaki ugumu wake unalingana. Yaani utakayepangwa naye robo ana weight sawasawa na unayeweza kukutana naye nusu au fainali yenyewe.

Mara nyingi level hizo zinabebwa na uzoefu kwa kiasi kikubwa.

Chelsea ina timu nzuri, kwa timu za EPL zilizovuka, ni Chelsea ndiyo team nayotamani zaidi kupangwa nayo robo kuliko City.
 
Huku wamebaki wababe makapi yote yameshachujwa hakuna kuogopa ukipangiwa yyt
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom