Ukiwaangalia Kai na Abraham unaweza dhani wako serious

Maoni yakoMaoni yangu kw mechi ya jana naona kama Havertz tumepigwa. Abraham hafai hata kuwa ball boy wa chelsea. Gilmor atakuja kuwa bonge la mchezaji.
We yako huna?Maoni yako
Then katoka kwenye majeruhiKuna mashabiki wao kila kitu ni kulaumu ata kama sehm kun Zuri lazima atafute kasoro akosoe,
Watu wanamlaum kai wamesahau last season pia walkuwa wanamponda mount kuwa anapendelewa hana kitu now days ana waprove wrong watu wanajichekesha tu
Kai anahitji mda ili kuja kuwa bora sio kila mchezaji akisjiliwa ataanza kuperfom sana
, Mda upo aboreshe tu training has strength yuko weak physically but haimanishi kuwa ni mchezaji mbaya
We kuna kitu hukielewi, hakuna aliyesema Mount ni mbaya, na mount alishaonekana from game la kwanza kuwa atakuja kuwa mchezaji muzur siku za mbele. Walichokua wanalalamika watu ni kuwa hata siku gemu imemkataa mount bado lampard alikua anamchezesha hivyo hivyo tofaut na mchezaj mwingine akiboronga anafanyiwa maamuzi ya kubadilishwa.Kuna mashabiki wao kila kitu ni kulaumu ata kama sehm kun Zuri lazima atafute kasoro akosoe,
Watu wanamlaum kai wamesahau last season pia walkuwa wanamponda mount kuwa anapendelewa hana kitu now days ana waprove wrong watu wanajichekesha tu
Kai anahitji mda ili kuja kuwa bora sio kila mchezaji akisjiliwa ataanza kuperfom sana
, Mda upo aboreshe tu training has strength yuko weak physically but haimanishi kuwa ni mchezaji mbaya
Uefa...........MaybeThis Is Chelsea. We are Chelsea, We are the Best ..We will win either UEFA or EPL..
#CFC![]()
Ligi iishe na akabidhiwe kombe lake bc au unasemaje mkuuUefa...........Maybe
EPL ...........No, big NO
Unataka kujua sababu? Kuna kichaa kapewa rungu huko. Jose kapewa wachezaji mpaka kakiri hadharani kuwa alipewa zaidi ya matarajio. Sasa unategemea nini hapo. Kombe linaye mwenyewe tayari.
Ndiyo uzuri wa soka. Linaanza uwanjani na kutoboa mpaka nje ya uwanja.Ligi iishe na akabidhiwe kombe lake bc au unasemaje mkuu
Icho kikombe cha kukiepukaNatamani tupewe Munich
Wewe jamaa sijuu unajiamin niniNatamani tupewe Munich