Kikosi cha leo dhidi ya sevilla

Mendy
Azplicueta christensen rudiger emerson
Jorginho kovacic
Odoi kai pulisic
Giroud
 
Linrlrleup Vs Sevilla
 

Attachments

  • IMG-20201202-WA0014.jpg
    IMG-20201202-WA0014.jpg
    12.7 KB · Views: 1
Kwan alichokionyesha giroud leo Ni kusahihisha makosa ya Tammy yote, Sasa sijui lampard amejifunza kitu au vip?
 
Hii statement ni ya kimitego zaidi kwa Lampard

Olivier Giroud said he wanted to simply "enjoy the night" rather than worry about his role at Chelsea after making a spectacular statement in Wednesday's Champions League win over Sevilla.

The French star scored four goals in Chelsea's 4-0 triumph over Sevilla, becoming the oldest player to score a Champions League hat-trick on a record-breaking night.
1606953486678.png
 
Sevilla hawajawahi kufungwa mechi 14 za nyumbani kwa mashindani yote ya Ulaya kabla ya mechi ya jana
Chelsea hawajawahi kushinda mechi 4 mfululizo za UEFA tangu mwaka ule wa 2011/12 waliposhinda UEFA
 
Tusipofushwe na matokeo haya, bado akina Christensen, Emerson sio wa kuamini kwenye defense. Hata misimu iliyopita walikuwa na inconsistency kama hiii hiii.

Pili Jorginho bado second half syndrome ya kuchoka na kupwaya anayo na sidhani kama imemtoka

Kwa maoni haya kwenye first team ambaye nina uhakika atafanya vizuri wa kwanza ni Giroud tu katika timu iliyocheza leo
 
Jana Giroud kafanya makusudi
  1. Goli la kwanza guu la kushoto
  2. Goli la pili guu la kulia
  3. goli la tatu kichwa safi hadi Lampard akacheka kupita maelezo
Maana yake anaweza kufunga kwa pande zote, viungo vyote
 
Jana Giroud kafanya makusudi
  1. Goli la kwanza guu la kushoto
  2. Goli la pili guu la kulia
  3. goli la tatu kichwa safi hadi Lampard akacheka kupita maelezo
Maana yake anaweza kufunga kwa pande zote, viungo vyote
Tunaiita perfect hattrick hapa namsubili Southern Highland huyu anamtetea Sana Abraham anampenda kweli kweli Leo sijui atasemaje?
 
Back
Top Bottom