Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tunaiita perfect hattrick hapa namsubili Southern Highland huyu anamtetea Sana Abraham anampenda kweli kweli Leo sijui atasemaje?
Hata yeye hamtetei kwa sasa. Hakuna shabiki mwenye akili duniani atamtetea mchezaji asiyeleta raha hata kama ni baba au mama au mjomba. Abraham anahitaji kujifunza kwa kupewa muda mdogo, aongezewe muda jinsi anavyoimprove. Kama haimprove apigwe benchi
Mashabiki wote Chelsea tunahitaji matokeo mazuri ambayo mwisho wa msimu itatupa makombe
 
Jana Giroud kafanya makusudi
  1. Goli la kwanza guu la kushoto
  2. Goli la pili guu la kulia
  3. goli la tatu kichwa safi hadi Lampard akacheka kupita maelezo
Maana yake anaweza kufunga kwa pande zote, viungo vyote

Kwakweli mimi jana sijaona mpira. Nilitamani ila majukumu ya umbali yalinisababishia yote. But nawapa hongera wachezaji wote na mashabiki wote wa chelseaa
 
KTBFFH
-591321027.jpg
 
Kimsingi Tammy anatuchelewesha Sana kupata kupata ushindi, na kama game ile ya jumamosi na Spurs angemwanzisha giroud naimani tungepata ushindi Tena wamapema.

Na kitu kingine kwa wachezaji waliopo Sasa Chelsea na mfumo unao tumika unamuhitaji zaidi striker kaliba ya Oliver, sababu wachezaji wakumlisha wapo ,

Natamani Sana siku kakim ziyech , James na Oliver giroud waanze mechi pamoja nadhani siku hiyo tutaenjoy sana
 
Tusipofushwe na matokeo haya, bado akina Christensen, Emerson sio wa kuamini kwenye defense. Hata misimu iliyopita walikuwa na inconsistency kama hiii hiii.

Pili Jorginho bado second half syndrome ya kuchoka na kupwaya anayo na sidhani kama imemtoka

Kwa maoni haya kwenye first team ambaye nina uhakika atafanya vizuri wa kwanza ni Giroud tu katika timu iliyocheza leo
So kovacic azpi na mendy kwako huwaamn coz nao wameanza leo pia
 
Tunaiita perfect hattrick hapa namsubili Southern Highland huyu anamtetea Sana Abraham anampenda kweli kweli Leo sijui atasemaje?
Mkuu hii comment ilibidi ije ile siku ya mechi na Spurs lakini pamoja na ivyo niliongea kuhusu huyu dogo siku ileile. Kitu ambacho hukujui mimi simchukii Giroud kama ambavyo unadhani na nilishasema Giroud is far way better than Tammy ila Lampard anampa nafasi dogo kwa sababu ya long term plan na kwa hilo huwezi kumlaumu Lampard. Kilichotokea game na Spurs dogo anastahili kupunguziwa playing time ili ajifunze kama alivyowahi kufanya kwa Alonso, Rudiger, Christensen na kadhalika.

Kinachonikwaza kwenu ni kumdharau kabisa na wakati dogo kajitahidi msimu uliopita pamoja na mapungufu yake lakini ndio top score hatukupasa kumtreat namna ile ni pamoja na uchanga na pressure alokua nayo.
 
So kovacic azpi na mendy kwako huwaamn coz nao wameanza leo pia
Hao tayari wapo, mimi nawazungumzia wale ambao sio regular starter ndg. Kizungumkuti ipo kwa Azpi kwa sababu azpi ni mzuri na Reece ni mzuri
 
Sawa Mkuu hatukatai Tammy apewe long playing time lakini kuna baadhi ya mechi kubwa na muhimu hastahili kuanza 1st eleven atokee benchi.

Mechi kama ile ya tote alihitajika experienced striker like Giroud, mechi zote zilizobaki ndogo ndogo Tammy apangwe mpaka akinai mwenyewe.

Ila zile mechi kubwa na ngumu tunazotaka point 3 muhimu Lampard awe serious kumpanga Giroud
Mkuu hakuna mechi hatuhitaji point 3 au ushindi kila mechi ni muhimu ilakwa alichokifanya Tammy dhidi ya Spurs anastahili kupewa adhabu ya bench na kutokea sub. Mech na Spurs hata mimi nilisema alistahili kuanza Giroud.

Ukitaka kuona dogo anaota mapembe baada ya mechi na Spurs nilitegemea atasema chochote Instagram atleast kuwa please mashabiki lakini sikuona poat yake hata moja Instagram zaidiyakina Mount, Reece, Thiago, Hakim na Pulisic. Inafika kipindi yeye anaona ni kawaida na kama atapangwa tena sasa malezi kama hayo kiafrica tutamwita mtoto wa kishua na Dady wake
 
Tusiwaamini kivipi? Wachezaji mabeki wanapotoa clean sheet wapongezwe. Lampard amewaamini watatoa clean sheet na kushinda mechi ndio maana akawapanga. Tuache kulaumu kila kitu. Tulaumu jambo kwa wakati sahihi.

Tungekuwa tumeshinda 4-3 hapo tungewanyooshea kidole Emerson na Christensen. Tuwapongeze kwa clean sheet
Nazungumzia consistency, na nimeliweka hilo neno makusudi. Walicheza jana vizuri jana, kesho utashangaa wakaboronga. Na sikuzungumzia wachezaji wote niliwataja specifically Christensen na Emerson. Mashabiki wote wa Chelsea wanawajua sio wachezaji wenye consistency
 
Mkuu hii comment ilibidi ije ile siku ya mechi na Spurs lakini pamoja na ivyo niliongea kuhusu huyu dogo siku ileile. Kitu ambacho hukujui mimi simchukii Giroud kama ambavyo unadhani na nilishasema Giroud is far way better than Tammy ila Lampard anampa nafasi dogo kwa sababu ya long term plan na kwa hilo huwezi kumlaumu Lampard. Kilichotokea game na Spurs dogo anastahili kupunguziwa playing time ili ajifunze kama alivyowahi kufanya kwa Alonso, Rudiger, Christensen na kadhalika.

Kinachonikwaza kwenu ni kumdharau kabisa na wakati dogo kajitahidi msimu uliopita pamoja na mapungufu yake lakini ndio top score hatukupasa kumtreat namna ile ni pamoja na uchanga na pressure alokua nayo.
Ila sidhani kama ni Long term plan. Nadhani kocha wetu ana u England fulani haujamtoka. Nadhani kuna kipindi anajisahau kudhani ni kocha wa Timu ya Uingereza.

Kuna kipindi unaona kabisa unahitaji mabadiliko lakini bado kocha kauchuna kama hamna kinachoendelea. Tammy kupewa muda sawa, lakini sio kiasi cha kuathiri ushindi. Mechi ya Spurs haikuwa ya kufanya majaribio au build up.

Nadhani mechi ya jana imeonesha umuhimu wa kuwa na vikosi viwili vya kwanza.
 
Unachosema ni sahihi kabisa ni lazima kikosi cha kwanza kiwe Gold cha pili Tanzanite
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom