Pulisic majeruhi mfulilizo aendelee kupumzika pumzika apone kabisa majeraha yote, nadhani awe anatokea sub dakika za 70.

Werner anacheza vizuri sana kushoto akisimama na Giroud anayejua kufanya link up, pale mbele yatakuwa mauaji.
Na pia tunamichezo mingi Sana so hata pulisic asipo Anza weekend hii ataanza hata next time, na pia sisi Kama mashabiki tunataka kuona Ni vip giroud atazitendea haki long range ball za Hakim, hiyo ndo shauku yangu kubwa...
 
Pulisic majeruhi mfulilizo aendelee kupumzika pumzika apone kabisa majeraha yote, nadhani awe anatokea sub dakika za 70.

Werner anacheza vizuri sana kushoto akisimama na Giroud anayejua kufanya link up, pale mbele yatakuwa mauaji.
Mkuu, mtuongeze pesa basi kwa huyu Giroud dah,....
Ndio nilisikia mtu anamlinganisha Giroud na Tammy nikabakia kucheka tu.
 
Mkuu, mtuongeze pesa basi kwa huyu Giroud dah,....
Ndio nilisikia mtu anamlinganisha Giroud na Tammy nikabakia kucheka tu.
Uache unafiki kwa sababu hata nyie Arsenali mlimponda mkasema aliuzwa kwa sababu alikosa namba kwa akina Lagazeti
 
Chelsea offer David Alaba three-year deal

Chelsea have reportedly offered David Alaba a three-year deal as they look to sign the Bayern Munich star on a free transfer at the end of the season.

Alaba, 28, has rejected Bayern’s attempts to sign him to a new contract and he is now expected to leave when his current deal expires next summer. He can begin negotiations with foreign clubs from January, and Chelsea are said to be at the front of the queue.

PSG and Juventus also want to sign the versatile defender.

Alaba has played in a multitude of roles, including central midfield and right and left wing, but primarily plays as a center-back or left-back.
 
Game lijalo tutakuwa hatuna la kupoteza mana hata sevilla kama akishinda bc ashinde kwa magoli zaid ya 10 so tukimuweka kepa golin ataruhusu magoli matano nadhani itakuwa bado hakuna shida

😂😂😂 Akili za bang hizi
Hata tukifungwa 1000 na wao wakashinda 1000 hawawezi kuwa wa kwanza kwa sababu ya matokeo ya H2H
 
Pulisic majeruhi mfulilizo aendelee kupumzika pumzika apone kabisa majeraha yote, nadhani awe anatokea sub dakika za 70.

Werner anacheza vizuri sana kushoto akisimama na Giroud anayejua kufanya link up, pale mbele yatakuwa mauaji.
Tambua pia kumuweka Timo kushoto bado potential yake haionekani.
 
Pulisic akiahakua na match fitness striker unamchezeaha nani pale?

Hapo ndipo tunapomaanisha upana wa kikosi anayeanza Gold aliye bench Tanzanite
Striker anayefunga magoli ndie wa kupewa muda mwingi. Timo ni striker mzuri ila bado hajatulia. Ana makosa mengi kama ya Tammy, ila kwa sababu Tammy ni mwingereza ndie anaonekana. Tukifanya analysis ya clear chances walizokosa Tammy na Timo ni kama wako ngoma sawa. Advatage pekee ya Timo over Tammy ni anacheza mpira na juhudi zake asipofunga zinazaa goli kupitia wengine
Kwa form aliyonayo Giroud sasa hivi isitibuliwe, acheze tu pale hata Timo akianzia Benchi au Pulsiic yote sawa
 
Yote kheri ilimradi tusipoteze nafasi za kufunga kama game na Spurs
 
Kweli .naamini giroud akipewa pasi 10 .basi hata mbili zinaweza ingia kambani.
Ashindwe yeye mwenyewe tu.
Tammy ana waste sana mipira mirefu ya Ziyech, Giroud akipangwa na Ziyech hiyo mipira ya kichwa Giroud atafunga hat trick za vichwa za kutosha.

Halafu ile mechi ya juzi na Tote ikimwangalia Ziyech kama alikata tamaa flani ya kuendelea kupiga mipira mirefu kwa Tammy, akaamua kucheza mipira ya pasi fupi fupi.
 
Back
Top Bottom