Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

128643204_10159200850017259_5859909675634328199_o.jpg
 
Tuna kocha mpuuzi na waajabu sana, Lampard hayuko serious na ubingwa kama sisi tunavyo tamani sana. Mtu kama Abraham si wa kuwa pale Chelsea ana ujinga mwingi mno jitu lipo lipo tu kama zezeta. Kila siku makosa ni yale yale inakuwa vip anashindwa jirekebishe, inasikitisha sana.!!

Huyu Lampard ata sub hajui kabisa eti anamtoa Ziyech kisha Giroud anaingia huku takataka Abraham bado ikiwa uwanjani, sasa jiulize alivyo mtoa Ziyech zile pasi za cross apige Nani.?
 
Japo mimi simuamini sana Lampard kimbinu lakini kwa game ya jana huwezi kumlaumu sana maana tungekurupuka tu Mechi ingeisha mapema, kikubwa sasa hivi defensive pattern imeanza imarika hii ni ishara kwamba kocha anaiprove licha ya mapungufu yake
Bado huwa sina imani kabisa na staili ya mipira anayoicheza nyuma Zuma, jana Spurs wangetutandika 1 takatifu la kudumu ikiwa wangekuwa makini kwa ule mpira aliompasia adui na kukosa goli la wazi kabisa.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Hiv lampard ndio aruhusiwi kudraw au kufungwa ?

Tukishinda huwa pako kimya sana hunu ila siku tukidraw au tukafungwa ndio issue za lampard hatufai ndio zinakuja
Hata tukishinda mi bado kuna kitu bado Lampard sijakiona, unaweza ukafungwa lakin bado ukawa na imani na kocha ila lampard sio kocha yule ni dalali wa akina Tammy.
 
Bado huwa sina imani kabisa na staili ya mipira anayoicheza nyuma Zuma, jana Spurs wangetutandika 1 takatifu la kudumu ikiwa wangekuwa makini kwa ule mpira aliompasia adui na kukosa goli la wazi kabisa.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Zouma anacheza vizuri na ni mmoja wa defender makini sana wa Chelsea. Kilichotokea jana ni aliyekuwa anapasiwa alipoteza mawasiliano na Zouma kwa kurudi nyuma ghafla kwa hiyo kwa vile pasi zilikuwa za kasi ikamkuta hayupo oponent akawahi. Defender kufanya makosa sio dhambi, kinachopimwa ni frequencies za makosa na je makosa ilpelekea kufungwa. Kosa lile moja la Zouma ukilinganisha na makosa aliyokuwa akifanya Rudiger, Christensen na Tomori na ndio maana tulikuwa tukifungwa kirahisi sana. Silva sio kwamba naye hafanyi makosa, ila frequency ni ndogo sana ambayo bado inamfanya kuwa CB mzuri. Zouma kaimprove sana ukimtofautisha na msimu uliopita mwanzoni.

Vitu viwili au vitau nampenda Zouma
  1. Anatoa pasi kwa haraka
  2. Anatumia vyema urefu wake kuwahi mipira ya juu.
  3. Ana kasi kwenye kutackle
Baadhi ya matatizo yake
Sometime anakuwa hana concertation uwanjani ila mara chache sana
 
Sahihi kabisa Zuma ameimprove sana msimu huu
 
Hiv lampard ndio aruhusiwi kudraw au kufungwa ?

Tukishinda huwa pako kimya sana hunu ila siku tukidraw au tukafungwa ndio issue za lampard hatufai ndio zinakuja
hata mikeka inahusika, inachanika kwa sababu za uzembe wa kocha
 
Leo Gilmour atakuwepo kwenye benchi au uwanjani dhidi ya Sevilla
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom