Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Spurs nimwepesi sana sema Man City pumzi zimekata ndo maana spurs alijichukulia ujiko,lakini siyo kwamba spurs anampira wakutisha.
Kaka Man City pumzi imekata kweli au hukuuangalia vizuri mpira aliocheza na Liverpool pale Ethard kabla ya mechi ya jana na Spurs?

Sema nyota ya kun'gaa kwa matokeo ndiyo imekuwa butu sasa hivi kwa Man City lkn upepo ukiwabadilikia usije kuikataa hii kauli Chifu.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Havertz akirudi awe anapewa muda kidogo kama Odoi mpaka form yake irudi kawaida. Nasema hivyo kwa sababu timu sasa hivi iko vizuri na Mount na Kovacic wanatoshea pale kwenye kiungo

Pulisic---------------------------Timo ----------------------------Ziyech

Kovacic-----------------------Kante -----------------------Mount

Ben Chilwell --------------Silva/Rudiger ------------Zouma -------------James/Azpi

Mendy

Regular Sub

  1. Kepa
  2. Rudiger
  3. Azpilicueta
  4. Gilmour
  5. Havertz
  6. Odoi
  7. Abraham
Hio nzur ila kweny match ya jumanne uefae nahic katikati ataanz jorginho kante atapumzishwa kwa ajik ya spurs maybe harvetz na pulisc wataanza pia
So kikos kitabadirika t
 
Mendy anazidi kujiongezea clean sheet
Kante akiwa kwake, timu inatulia sana
Nafurahi Lampard anaanza kujua umuhimu wa mchezaji muhimu kama Kante akichezea position yake
Sio tena kesho mara kamuweka JO pale na timu inaanza kuyumba
Mendy ataibuka kuwa kipa Bora msimu huu
 
Chelsea bado mfumo wao unanipa pressure, ile tabia ya kurudisha mipira nyuma, binafsi siipendi. Pia jana mfano new castle wakipata mpira wanapanda haraka sana, sisi tuna gonga sana pass na tunaenda mbele polepole sana. Binafsi ingawa tunashinda ila huu mfumo sijaupenda
 
Maoni yako nayaelewa sana mana hata mimi naona kitu kama hicho, siku tukipata timu inayokimbiza tutafungwa goli nyingi sana. Newcastle walijitahid kama tatu hivi moja ikagonga mwamba tukikutana na waliodhamiria yale yote magoli mana Mendy alikua ameruka ushahid tu. Bado hatupo sawa kama baadhi ya watu humu wanavyoamini.
 
Huyu Spurs anaoendelea iv itakua ngumu sana kumfunga ,match n Spurs mabek inbd wawe makini san son na kane hawa jamaa ni hatar , kama jana spurs yey hakuwa na shida ya kupigae mpira mwingi anatafut tu goli la mpema anapaki basi
So lampard inabid afanye kazi ya Ziada
Na hiyo ndiyo mbinu ya Morinyo. Hakikutangia huchomoki. Solution ni kumzima mapema
 
Chelsea bado mfumo wao unanipa pressure, ile tabia ya kurudisha mipira nyuma, binafsi siipendi. Pia jana mfano new castle wakipata mpira wanapanda haraka sana, sisi tuna gonga sana pass na tunaenda mbele polepole sana. Binafsi ingawa tunashinda ila huu mfumo sijaupenda
Ndugu, huo mfumo unaotaka wewe ndio Lampard kaanza nayo mechi ya kwanza na Manure msimu uliopita tukafungwa 4 mtungi.
Kurudisha nyuma mipira ina maana kubwa kwenye tactical view ya football.
  1. Kwanza inawapa nafasi wachezaji muda au fursa ya kupanga mashambulizi upya
  2. Pili inatoa nafasi ya kupeleka mpira mbele bila kuwaruhusu maadui kufanya counter
  3. Tatu, kama mmeshinda ndio njia halali ya kupoteza muda
  4. Nne, inawapa nafasi wachezaji ku-explore blunders au makosa ya oponents ili kuyatumia kwenye counter attack
  5. Tano, inawapumzisha wachezaji ili kuweka akiba energy kwa mashabulizi yajayo
Kinachomata zaidi ni
  1. Touches kwenye opposition third
  2. Chances created
  3. Attempts na shots on target
  4. Goal scored
  5. Set pieces created
  6. Nk.
 
Ndugu, huo mfumo unaotaka wewe ndio Lampard kaanza nayo mechi ya kwanza na Manure msimu uliopita tukafungwa 4 mtungi.
Kurudisha nyuma mipira ina maana kubwa kwente tactical view ya football.
  1. Kwanza inawapa nafasi wachezaji muda au fursa ya kupanga mashambulizi upya
  2. Pili inatoa nafasi ya kupeleka mpira mbele bila kuwaruhusu maadui kufanya counter
  3. Tatu, kama mmeshinda ndio njia halali ya kupoteza muda
  4. Nne, inawapa nafasi wachezaji ku-explore blunders au makosa ya oponents ili kuyatumia kwenye counter attack
  5. Tano, inawapumzisha wachezaji ili kuweka akiba energy kwa mashabulizi yajayo
Kinachomata zaidi ni
  1. Touches kwenye opposition third
  2. Chances created
  3. Attempts na shots on target
  4. Goal scored
  5. Set pieces created
  6. Nk.
Umemjibu vizuri.
 
'My situation at Chelsea is worrying' - Giroud says he'll have to make a decision on his future in January​

1606056092878.png
 
Sorry,

Conte, Kante is going nowhere:

Chelsea's one truly world-class player is back to his best
1606056271124.png

Frank Lampard on Kante

“I have so much faith in him and the top midfield player that he is," he added. "It's not just about breaking up play and winning the ball back, even though we know that is a huge quality of his. "It's also about his passing and his support play in midfield. Moving into that deeper role has been a very comfortable transition for him, so we're just really, really happy with him.”​

Mkuu wewe unambinu?
Mi mbinu za mpira za kupeleka wapi? Huyo kocha ndio anatakiwa awe nazo mana ndio kazi yake, nawaangalia Leeds hapa wanavyoupiga mwingi, hakuna side ways pass za beki na beki,wanapita humo humo katikati. Unaona kabisa kocha anawafundisha kitu. Inasikitisha sisi tunae Lampard wakat Leeds wana Bielsa.
 
Tuliwaambia Arsenal ukweli juu ya Willian lakini wakabeza na wakadai wamepata dume kumbe garasha. Willian aondolewa baada ya HT for tactical reasons
balaa lingine, Pepe aliyekuwa anacheza vizuri katolewa red card. Leeds washindwe wenyewe
Auba ni Willian anayefunga magoli ila kuvutia mkataba, baadaya kusaini mkataba kageuka naye garasha. First half ana touch moja tu kwenye penalty box ya Leeds
 
Wabaya wa Abrahama mpo!

Tammy Abraham scored and was awarded the Man of the Match award in Chelsea’s 2-0 win over Newcastle at St James’ Park.
 
Wabaya wa Abrahama mpo!

Tammy Abraham scored and was awarded the Man of the Match award in Chelsea’s 2-0 win over Newcastle at St James’ Park.
Award ya mezaini hiyo, kwa lipi? au kwa goli alilofunga,goli lenyewe juhudi kafanya mwingine. Timo alistahili, mingereza bhana kwa kubebana.
 
Reuben Loftas Cheek naona form yake imeanza kupanda kule Fulam, kaingia muda mfupi akaleta imapct kubwa na kufunga bao zuri iliyoiwezesha Fulam kufungwa 3-2 na Everton
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom