Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Huo ndio mpira, sio mpira wa kupasiana mabeki dk.90 zote.

Tuongee ukweli lampard anauwezo wa kumfunga nani hapo?
Refer msim uliopita aliwafungaje hao.
Josee kafungwa home n away
Pep kafa stamford 2-1

Kuna lingine tena??? Unataka kujua
 
Wiki ijayo tunamtoa Spurs kwenye nafasi ya kwanza au ya pili itadepend na kesho kati ya Lcity na Liverpool
 
Refer msim uliopita aliwafungaje hao.
Josee kafungwa home n away
Pep kafa stamford 2-1

Kuna lingine tena??? Unataka kujua
Tulimfunga pep lkn nafikiri ilikuwa ulinzi shirikishi maana city akimiliki mpira sana lkn akatoka na on target 2 ....na kante akikaa dmf km anayokaa sasahv
 
Kovacic na kante good partnership na niliongea mwanzo Kama ile game ya man u angecheza Kovacic ile game man u angekufa tulikosa mtu wa kuipush team kutoka Kati kwenda mbele
 
Huyu Spurs anaoendelea iv itakua ngumu sana kumfunga ,match n Spurs mabek inbd wawe makini san son na kane hawa jamaa ni hatar , kama jana spurs yey hakuwa na shida ya kupigae mpira mwingi anatafut tu goli la mpema anapaki basi
So lampard inabid afanye kazi ya Ziada
 
Huyu Spurs anaoendelea iv itakua ngumu sana kumfunga ,match n Spurs mabek inbd wawe makini san son na kane hawa jamaa ni hatar , kama jana spurs yey hakuwa na shida ya kupigae mpira mwingi anatafut tu goli la mpema anapaki basi
So lampard inabid afanye kazi ya Ziada
Hatari sana mkuu, yani itambidi Lampard ajipange kimbinu zaidi maana Mourinho huwa anaangaliaga short on target kuliko chochote linapokuja swala la kutafuta point, japo naamini tunaweza tukashinda hiyo mechi.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Huyu Spurs anaoendelea iv itakua ngumu sana kumfunga ,match n Spurs mabek inbd wawe makini san son na kane hawa jamaa ni hatar , kama jana spurs yey hakuwa na shida ya kupigae mpira mwingi anatafut tu goli la mpema anapaki basi
So lampard inabid afanye kazi ya Ziada
Spurs nimwepesi sana sema Man City pumzi zimekata ndo maana spurs alijichukulia ujiko,lakini siyo kwamba spurs anampira wakutisha.
 
Spurs nimwepesi sana sema Man City pumzi zimekata ndo maana spurs alijichukulia ujiko,lakini siyo kwamba spurs anampira wakutisha.
Wakati nawataja makocha wenye mbinu nilipomuweka MOU mwanzoni kuna watu hawakunielewa, PEP ni Lampard mwenye uzoefu tu, wanadepend sana kwenye falsafa ya mpira kuliko tactics na trick za kuleta matokeo. Ndio maana hata baada ya HT uchezaji ni ule ule na MOU anawapatiaga hapo makocha wenye kutanguliza mazoea. Hata kama Lampard alimfunga home and away msimu uliopita, utashangaa MOU msimu huu akaja na mbinu tofauti na kutupa shida uko mbele
 
Havertz akirudi awe anapewa muda kidogo kama Odoi mpaka form yake irudi kawaida. Nasema hivyo kwa sababu timu sasa hivi iko vizuri na Mount na Kovacic wanatoshea pale kwenye kiungo


Pulisic---------------------------Timo ----------------------------Ziyech

Kovacic-----------------------Kante -----------------------Mount

Ben Chilwell --------------Silva/Rudiger ------------Zouma -------------James/Azpi

Mendy

Regular Sub

  1. Kepa
  2. Rudiger
  3. Azpilicueta
  4. Gilmour
  5. Havertz
  6. Odoi
  7. Abraham
 
Maandishi yenye bold, Cole aeleza jinsi Lampard alivyoijenga timu kimfumo, kimbinu na anamsifia sana Lampard. Mmoja wa LB maarufu na anayeheshimika na anayejua mpira duniani, ila huku ushenzini kwetu kuna mijitu hata mpira hawajui wanasema Lampard hakuna kitu pale, hajui mpira, MUNGU AWASAMEHE BURE

“You look at it, you have Pulisic, and Havertz as well to throw back into the mix, it's an embarrassment of riches,”

“And it has been built the right way. The structure has gone in place, the style of play, the methodology that Frank wants to play.

“The biggest credit you can pay Frank, you can see his personality on the team.


“You can see that work ethic, that togetherness, that relentlessness and he has implemented that. It's just a very, very exciting time for Chelsea fans.

Ashley Cole said
 
Mendy anazidi kujiongezea clean sheet
Kante akiwa kwake, timu inatulia sana
Nafurahi Lampard anaanza kujua umuhimu wa mchezaji muhimu kama Kante akichezea position yake
Sio tena kesho mara kamuweka JO pale na timu inaanza kuyumba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom