Tunaposemaga juhudi binafsi za mchezaji ndio kama hili goli, timo katumia juhud binafsi.
Vip mkuu bado unapumua kweli?Hapa leo nitahamia! Kuna kilio kitarindima jioni ya leo! Hivyo muuguwe pole.
433 ishakubaliGari limewaka sasa akirudi CP shughuli ndio itakua balaa zaidi.
We kazakazaKiukweli tumeshinda ila lampard hamna kitu. Afukuzwe tu. Na nambamiza sana "LAMPARD OUT" huko kwenye mitandao yao mpk afukuzwe.
Kama mnampenda Giroud mwende mnywe naye chai nyumbani kwenuUnapoteza nguvu nyingi kumjibu Mtu ambaye kaanza kumuona Giroud WC 2018.
Kulikuwa na watu wanipinga hiyo formation dhidi ya 343433 ishakubali
Wewe ulitaka juhudi ya nani itumike. wana heza wachezaji 11 uwanjani bila juhudi yao hakuna ushindi.Tunaposemaga juhudi binafsi za mchezaji ndio kama hili goli, timo katumia juhud binafsi.
Hoja yako ni ipi?Kiukweli tumeshinda ila lampard hamna kitu. Afukuzwe tu. Na nambamiza sana "LAMPARD OUT" huko kwenye mitandao yao mpk afukuzwe.
Hujaona hapo mkuu nimeandika kwa herufi kubwa?? au hujui kusoma,Kocha gani hana mbinu.Hoja yako ni ipi?
Juhud za kocha kwnye kufundisha, sio kutegemea juhud za wachezaji peke yake.Wewe ulitaka juhudi ya nani itumike. wana heza wachezaji 11 uwanjani bila juhudi yao hakuna ushindi.
Tangu enzi za Drogba na Costa, juhudi binafsi ndio iliyoleta ushindi
Kwani hapo wanapocheza umewafundisha weweJuhud za kocha kwnye kufundisha, sio kutegemea juhud za wachezaji peke yake.
Hapana umewafundisha wewe.Kwani hapo wanapocheza umewafundisha wewe
Huo ndio mpira, sio mpira wa kupasiana mabeki dk.90 zote.Kinachoendelea kati ya Spurs na Mancity, kati ya MOU na PEP ni counter attack vs poessive football na inaelekea counter attack football itashinda
Majitu huwa yanadhani ball posession ndiyo matokeo pekee bila ya kuhusisha techniques, tricks na tactics, Mourinho ataendelea kuwa kocha bingwa wa mbinu maishani mwangu daima.Kinachoendelea kati ya Spurs na Mancity, kati ya MOU na PEP ni counter attack vs poessive football na inaelekea counter attack football itashinda