Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Msimu huu big teams almost zote ziko ovyo statistically t Tim msmu hazipo vzr
,Chuki binafsi iskufny usimpe credit mtu akifanya vzr ata kwa icho kdgo
It's true lampard sio bora kma klopp but atleast kajitaidi huu msmu wa pili kwa lmpard so subiri muda uamue
Ukitaka kujua Lampard hamna kitu, huyo Abraham kwnye timu y taifa hapat namba.
 
Katika game 2 alizocheza Hakim Ziyech hizi za kufuzu AFCON Ziyech ana assist 6 goal 2
 
Ukitaka kujua Lampard hamna kitu, huyo Abraham kwnye timu y taifa hapat namba.
sas Abraham utmafananish n Kane , kila mtu anjua Kane ni top striker
Ukisem Ivo utaulizwa mount timu ya taifa anacheza pia nae vip
So kutocheza Abraham timu ya taifa hakuna uhusiano na lampard coz kane ni much better than a lot of strikers in the world not EPL only
 
Wenger wakati anamweka benchi alikuwa haboi? Hivi style ya uchezaji wa Chelsea unaona inamfaa Giroud? Kila aina ya mpira ina wachezaji wake
Bado Giroud is far better than Tammy Abraham kwenye kufunga magoli. Abraham anaremba sana wakati Giroud anarisk. Tukumbuke mwishoni mwa ligi isingekuwa Giroud Chelsea ingekuwa out of top 4 hata Europa tungekosa. Nafikiri tukirudi Lampard
 
Kwani last season aliingiaje top four

Muwe na akiba ya maneno, last season nyie ndo mshabiki mliokuw mnasema ataishush timu daraja
Uwez mjaji lampard ukawalinganish ns klopp n gadiora they dar better than him in all coaching staff but uwz sema kuwa lampard han kitu last season timu ilkuw mbov Zaid ya sahiz but now timu ina improve it's better umjudge at nusu msmu ukifk ndo kwanz eight games played one loose only
Hao Liverpool ambao wanastrong squad pia wamepoteza games zao
Na uzoefu wote aliyonayo, Klopp ilimchukua miaka minne kuitengeneza Liverpool, Lampard yeye hata uzoefu hana anapewa msimu mmoja aitengeneze Chelsea, Hata PEP ilimchukua zaidi ya mwaka mmoja kuitengeneza Man City pamoja na uzoefu aliyonayo Barca na Bayern Munich.
 
Last season timu zote zilikua mbovu, liverfools tu ndio walikua vizur na city kwa mbali. Na tulikua wa4 kw sababu y uwezo binafsi wa wachezaji, tena ingekua kuna kuongeza games, last season zingeongezwa games mbili tu leceister au spars wangetupita.
Msimu huu usiujudge kw kuangalia last season, timu zipo moto, sisi bado tunategemea uwezo wa wachezaji, kocha hamna kitu.
Sasa hii ya uzoefu binafsi ya wachezaji imekuwa wimbo tena unaokera. Management wao ni mabwege kuliko mashabiki wakaamua kumuamini Lampard!! Mtamuelewa Lampard tu siku zinavyozidi kwenda. Na msimu wa 2021/22 Lampard akiendelea kuwa na hii timu hakuna mdudu atakayeifunga Chelsea labda kwa kuotea kwa mbali. Wachezaji watakuwa wamezoeana, wamemuelewa kocha na viraka vitakuwa vimeshazibwa kabisa. MTAELEWA TU NA KUJA HAPA NA BLAA BLAA ZINGINE KAMA HIZI
 
Kuna baadhi ya matatizo aliyonayo Lampard hasa ya kuwaamini kupita kiasi baadhi ya academy kama Abraham dhidi ya Giroud na nyingine kupanga wachezaji out of position lakini haimuondolei kuwa kocha mzuri
After all kila kocha ana madhaifu yake na mashabiki husika wa hizo timu wanazijua madhaifu ya makocha wao
Hata Klopp na uzoefu wake alishawahi kukiri kuwa huwezi kusajili wachezaji wazuri wengi kwenye timu na wakaleta mafanikio ya haraka. Wachezaji wanahitaji kujuana, kumjua kocha na falsafa yake ndipo waanze kuleta matokeo. Msimu huu ni msimu wa timu kujuana na kumsoma kocha. Akiboronga msimu ujao no way lazima tumbadilishe kocha ila msimu huu, tumuache kwanza aisuke na kutengeneza culture ya timu ili iweze kuleta makombe.

Shime tumpe Lampard muda na tuache kusodoa au kukashifu hata mafanikio aliyoyapata akiwa na wachezaji wa kawaida tu
Wee ulitegemea baada ya Hazard kuondoka akina Luiz, Willian, Kepa, Tammy Abraham, Christensen, Tomori watuletee makombe??, Top 4 yenyewe ilikuwa ni miracle na nadhani Lampard alipewa bonus kwa kupata hayo mafanikio. Management walimtaka tu timu isishuke daraja. Maana yake hata kama Chelsea ingeshika nafasi ya 17 bado Lampard angekuwa na mafanikio

Tumpe Lampard muda aijenge timu na timu izoeane ili waanze kutupa raha
 
sas Abraham utmafananish n Kane , kila mtu anjua Kane ni top striker
Ukisem Ivo utaulizwa mount timu ya taifa anacheza pia nae vip
So kutocheza Abraham timu ya taifa hakuna uhusiano na lampard coz kane ni much better than a lot of strikers in the world not EPL only
Hapo Hujamtaja Jamie Vardy
 
Mbona Benzema ni top striker bado anakalishwa na Giroud, tukubali tu kocha hatuna pale.
 
Giroud Ni mzuri kwenye link up kitu ambacho kinafit kwa Sasa hiv lakini pia upigaji wa cross wa Ziyech Ni faida pia kwa Giroud sambamba na cross zile za Benchillwel kitampa faida Sana Giroud tatizo la kocha wako anachuki Binafsi na Giroud anaona akimpa nafasi Giroud mwingereza mwenzake Abraham atakosa nafasi.Kumbuka pia bila magoals ya Giroud sisi tusingeingia big 4 msimu Huu.
Nyie watu mnaniahangaza sana yan unasema bila magoli ya Giroud tusingeingia top four yan unasema as if halikua jukumu lake kufunga. Halafu pia unamasahau Tammy aliyeweka kambani magoli 15.

Yan bado mna ushamba wa kusema Lamps anapendelea waingereza wenzake mnasahau kuna wakati kina James, Tomori na Mount walikua wanakaa bench? Alooo mnakera kwa sababu mnamihemuko ya chuki hamfuatilii vizuri timu yenu.
 
Unawas
Wala msihofu Kabisa, Lampard msimu huu ni wa mwisho kama kocha wa Chelsea. Tunafahamu tunavyoumia na kuhuzunika yana mwisho wake, muda ni mwalimu mzuri. Kocha wa makombe yupo njiani anakuja mtacheka na kufurahi sana na kusahau haya maumivu ya sasa. Tuweni wavumilivu ni swala la muda tuu kuletewa kocha bora
Unawasemea watu wanaumia kwa uwepo Lampard kwa nn usijisemee wewe. Halafu dua la kuku halimpati mwewe unaweza hii ndio ikawa mara yako ya mwisho kuja na hii ID ya chuki ukaja na ile ID nyingine kuunga mkono juhudi za Lampard kuelekea nchi ya ahadi. Pole sana mkuu unajipa tabu za bure
 
Mbona Benzema ni top striker bado anakalishwa na Giroud, tukubali tu kocha hatuna pale.
Kumbe nimegundua wewe hujui chochote unakurupushwa na mihemuko. Nakupa homework ni kwanini Benzema haitwi timu yataifa.

😂😂 Kwaiyo siku zote unahisi Benzema ni mbovu ndio maana haitwi national team? SMH!!
 
Mbona Benzema ni top striker bado anakalishwa na Giroud, tukubali tu kocha hatuna pale.
Haha haha yni ww unachuki binafsi kwa kigezo icho mchezaji wake asipoitw national team ndo kgezo cha koch mbovu

Vardy haitwi timu ya taifa so utsem pia Koch ake mbovu😃
Tafuta facts zingine zenye mashiko kuprov kitu chako ulichosem
Nb Abraham timu ya taifa anaitw Jan pia kacheza kutokea sabu
Southgate sio mjinga kumwita timu ya taifa
 
Kumbe nimegundua wewe hujui chochote unakurupushwa na mihemuko. Nakupa homework ni kwanini Benzema haitwi timu yataifa.

😂😂 Kwaiyo siku zote unahisi Benzema ni mbovu ndio maana haitwi national team? SMH!!
Huyu jamaa chuki binafsi t uwez kusema mtu mbovu ikiwa bdo hajafany kitu kibaya
Mtu anakwambia eti Abraham hajaaitw timu ya taifa mbele ya kane so kocha mbovu kitu ambacho hakina uhalisia
 
Kumbe nimegundua wewe hujui chochote unakurupushwa na mihemuko. Nakupa homework ni kwanini Benzema haitwi timu yataifa.

😂😂 Kwaiyo siku zote unahisi Benzema ni mbovu ndio maana haitwi national team? SMH!!
Sijasema benzema ni mbovu, nilimquote alichokisema kua kane ni top striker ndio mana anaanza mbele y Abraham, ndio mana nikamuuliza hilo swali.
We ndio hujui chochote, home work yako fanya mwenyewe.
 
Haha haha yni ww unachuki binafsi kwa kigezo icho mchezaji wake asipoitw national team ndo kgezo cha koch mbovu

Vardy haitwi timu ya taifa so utsem pia Koch ake mbovu😃
Tafuta facts zingine zenye mashiko kuprov kitu chako ulichosem
Nb Abraham timu ya taifa anaitw Jan pia kacheza kutokea sabu
Southgate sio mjinga kumwita timu ya taifa
We hujanielewa kocha wetu ni mbovu, mtu anaemweka bench ndio anaenda kutupia huko, ila anaembeba kisa mwingereza anaenda kusugulia benchi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom