Kitu ambacho nimegundua kwa Mateo Kovacic msimu Huu ame add value kwenye uchezaji wake moja ya kitu ambacho ameongeza Ni kufanya forward run without ball ili kuwa kwenye nafasi ya kufunga magoal Kama alivyokuwa Lampard kipindi kile.Hili Jambo nimeanza kuliona kuanzia kwenye game ya shelfied united na moja ya Kati ya chance aliyopata kutoka pass ya Ziyech angefunga goal sema yule beki akablock mpira na hii pia ameenda nayo mpaka kwenye team yake ya Taifa na Jana ametupia goal 2 Chelsea wenzangu sijui mmeliona hili
Kyatile
lembu
Cash Money Forever
Mkohoti
Kyatile
lembu
Cash Money Forever
Mkohoti