Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Napenda sana uchambuzi wako sio wamatusi kejeri hata kama mtu umpedi.....Ila ombi langu kama mwana Chelsea mwenzio mpe Lisu kura yako ikifikapo tarehe 28/10......bigup blues
Ooooooohhhhoo hili ndilo lililobaki, huu uzi tuubadilishe jina tuuite chama cha mąpinduzi tu
 
Cha ajabu majirani zetu Arsenal wanafanya vizuri kwenye ligi ila tuko juu yao, je Chelsea ikianza kufanya vizuri tutawaacha wapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Akutukaneye hakuchagulii tusi
 
Naomba Mungu zidane afukuzwe Madrid tumchukue sisi mambo yatakaa sawa kabisa.Blue is the best color
Kidumu chama cha mąpinduzi

Kidumu chama dume, wewe mwanaccm mwenzangu unakwama wapi?
 
arsenal ni udongo na mavumbin mtarudi[emoji23][emoji23][emoji23]
IMG-20201026-WA0001.jpg
 
Nafuatilia sana ndugu, hakuna mechi ya Chelsea nisiyofuatilia kwa 90% na kila mchezaji namfuatilia kwa karibu kuliko unavyodhani, amekuwa akipoteza possession kitu ambacho hakuwa nayo. Kova ni mchezaji mzuri kama alivyo Kante lakini kwa nyakati tofauti kila mchezaji anaweza kupanda na kushuka
Hata hivyo pamoja na kushuka klidogo Jorginho yuko susceptible/vulnerable zaidi ya Kova kwenye midfield hasa kipindi cha pili
Ebu niambie game ipi ulimuona Kovacic yupo chini ya kiwango tangu msimu uanze
 
Mechi ya Chelsea na West Brom Kova alitolewa dk ya 46 na nafasi yake kuchukuliwa na Odoi (hii ni abdnormal kwa mchezaji kama yule sio majeruhi kutolewa kabla ya muda na Lampard alipoulizwa akasema tactical reasons- ukishaona kocha anasema mchezaji kaachwa au katolewa kwa tactical reason jua hapo hawezi tu kusema sababu halisi ili asiharibu hali ya hewa) Kabla ya hapo Chelsea walishambuliwa sana na kulazimisha mistakes zilizozaa magoli na root cause ya hizo mistakes ni position ya Kova ilikuwa very exposed kwa counter attack, yeye na Alonso na wote walitolewa wakati mmoja timu ikatulia.

Alipoingia Odoi ndio timu ikafufuka na tukafanikiwa kurudisha magoli yote na kwenye hiyo mechi Aliyecheza vizury kipindi hicho alikua ni Odoi aliyechukua nafasi ya Kovacic. Hata kwenye mechi na Liver pamoja na Christensen kutolewa mimi sijafurahishwa na jinsi Kova alivyokuwa anapoteza mipira. Kinachowafanya mashabiki wengine wasiuone udhaifu wa Kova ni kwa sababu ni mzuri kudrive mipira kwenda mbele.

Sasa mtu ambaye form yake iko hivyo unataka kocha amlee tu kwa sababu mwaka jana alikuwa best player of theyear halafu itucost kufungwa kiholela hivyo kama hiyo mechi na West Brom??
 
Kusema ukweli mi sikuona kama aliboronga, ok. let say aliboronga ndio asipangwe tena kisa kaboronga mechi moja au mbili. Mount kaboronga mechi ngapi na anamaliza dk. zote 90?
 
Lampard hawezi kukwepa lawama za kushuka viwango vya wachezaji

Ninavyofahamu Kocha anaweza kuchangia kwa namna moja au nyingine kuua kiwango cha mchezaji au kukipandisha kiwango cha mchezaji.

Tumeona jinsi pep & klop walivyoboresha na kupandisha viwango vya wachezaji. Staki kuamini sana kwamba eti kiwango cha Kovacic kimeshuka bila kuchangiwa na ubinafsi wa Lampard.

Kovacic mchezaji bora wa club msimu ulioisha, hapangwi kila siku anasugua bechi unategemea angemaintain vipi kiwango chake kwa kukaa bechi?

Kovacic ni very talented player kocha mwenye akili timamu hawezi kumweka bechi.

Tusishangae huko mbeleni Pulisic akasugua bechi kwa kushuka kiwango.
Lampard siku akifukuzwa nitafanya sherehe.
 
Mechi ya Chelsea na West Brom Kova alitolewa dk ya 46 na nafasi yake kuchukuliwa na Odoi (hii ni abdnormal kwa mchezaji kama yule sio majeruhi kutolewa kabla ya muda na Lampard alipoulizwa akasema tactical reasons- ukishaona kocha anasema mchezaji kaachwa au katolewa kwa tactical reason jua hapo hawezi tu kusema sababu halisi ili asiharibu hali ya hewa) Kabla ya hapo Chelsea walishambuliwa sana na kulazimisha mistakes zilizozaa magoli na root cause ya hizo mistakes ni position ya Kova ilikuwa very exposed kwa counter attack, yeye na Alonso na wote walitolewa wakati mmoja timu ikatulia.

Alipoingia Odoi ndio timu ikafufuka na tukafanikiwa kurudisha magoli yote na kwenye hiyo mechi Aliyecheza vizury kipindi hicho alikua ni Odoi aliyechukua nafasi ya Kovacic. Hata kwenye mechi na Liver pamoja na Christensen kutolewa mimi sijafurahishwa na jinsi Kova alivyokuwa anapoteza mipira. Kinachowafanya mashabiki wengine wasiuone udhaifu wa Kova ni kwa sababu ni mzuri kudrive mipira kwenda mbele.

Sasa mtu ambaye form yake iko hivyo unataka kocha amlee tu kwa sababu mwaka jana alikuwa best player of theyear halafu itucost kufungwa kiholela hivyo kama hiyo mechi na West Brom??
Wewe jamaa utakuwa na chuki binafsi na Kovacic hiyo game alicheza vizuri sababu kuu ya kovacic kutolewa lengo Ni kuongeza nguvu kwenye eneo la attack baada ya kuwa nyuma kwa 3 bila kwa makosa ya Alonso ndio maana akaingia odoi na Giroud tukawa na mastrikers 3 mbele na katikati ya uwanja akabaki Kante pekee.
Mkohoti
 
Rating ya Kovacic ktk hiyo mechi ilikuwa 4/10 rating ndogo sana kwa kova ambaye siku akicheza vibaya anakuwa kwenye 6/10, Unataka kutudanganya kuwa mchezaji anayecheza vizuri kweli anatolewa huyo kocha atakuwa hana akili kabisa
 
Sababu kuu ya kutolewa kwa Kovacic sio kwasababu alicheza vibaya Kama alivyosema huyo jamaa nimeandika na nimekutag utaiona.
Ndio mana hata mimi nilikua nahoji ni lini aliboronga, binafsi naona kova akiwepo kunakua hata na muunganiko wa timu, sijui lakini kwa mtazamo wangu pia Havertz naona kama ligi inakua ngumu kwake, labda ni mapema kusema hivyo.
 
Wewe jamaa utakuwa na chuki binafsi na Kovacic hiyo game alicheza vizuri sababu kuu ya kovacic kutolewa lengo Ni kuongeza nguvu kwenye eneo la attack baada ya kuwa nyuma kwa 3 bila kwa makosa ya Alonso ndio maana akaingia odoi na Giroud tukawa na mastrikers 3 mbele na katikati ya uwanja akabaki Kante pekee.
Mkohoti
Na uwe unatumia maneneno ya staha unapowasilisha hisia zako binafsi. Mimi nimchukie mchezaji anayelipwa vizuri yuko ulaya na mimi niko ushenzini itasaidia nini? Naelezea hali halisi ilivyo. Uchambuzi wangu huwa sio bais kama ilivyo kwa wengi huku. Hata nilipomchambua Lampard pamoja na kuwa namkubali sana lakini nilimwaga ukweli juu ya Lampard. Mimi sio aian ya shabiki anayepumbazwa na personal love au hate kwa mchezaji au kocha. Kusema Kova kashuka kiwango ndio maana mechi kadhaa kawekwa benchi sio namchukia. Inawezekana hata mimi nikawa nampenda Kova kuliko nyie wengine. Nilisemaga hivi hivi kwa Rudiger nikashambuliwa na ukweli ukaja kudhihiri kwenye tyake ya Taifa kwa kuboronga. Ukweli ni huu wacherzaji wengi wa Chelsea hawana consistency, hata hao walio9sajiliwa including Werner, Havertz na ndio maana Chelksea inafanya vibaya
 
Mechi ya Chelsea na West Brom Kova alitolewa dk ya 46 na nafasi yake kuchukuliwa na Odoi (hii ni abdnormal kwa mchezaji kama yule sio majeruhi kutolewa kabla ya muda na Lampard alipoulizwa akasema tactical reasons- ukishaona kocha anasema mchezaji kaachwa au katolewa kwa tactical reason jua hapo hawezi tu kusema sababu halisi ili asiharibu hali ya hewa) Kabla ya hapo Chelsea walishambuliwa sana na kulazimisha mistakes zilizozaa magoli na root cause ya hizo mistakes ni position ya Kova ilikuwa very exposed kwa counter attack, yeye na Alonso na wote walitolewa wakati mmoja timu ikatulia.

Alipoingia Odoi ndio timu ikafufuka na tukafanikiwa kurudisha magoli yote na kwenye hiyo mechi Aliyecheza vizury kipindi hicho alikua ni Odoi aliyechukua nafasi ya Kovacic. Hata kwenye mechi na Liver pamoja na Christensen kutolewa mimi sijafurahishwa na jinsi Kova alivyokuwa anapoteza mipira. Kinachowafanya mashabiki wengine wasiuone udhaifu wa Kova ni kwa sababu ni mzuri kudrive mipira kwenda mbele.

Sasa mtu ambaye form yake iko hivyo unataka kocha amlee tu kwa sababu mwaka jana alikuwa best player of theyear halafu itucost kufungwa kiholela hivyo kama hiyo mechi na West Brom??
We jamaa nimekufuatilia comments zako kwa muda mrefu.

Ukweli ni kwamba huwa unajichanganya mwenyewe, kuna muda unakuja vizuri kimawazo muda mwingine maruweruwe.

Mchezaji hawezi kupigwa bechi kila siku eti kwa sababu ameboronga dk 46 za mchezo. World classic players kibao duniani huwa kuna mechi wanaboronga, kila siku huwezi kuwa fit kiakili na kimwili.

Mtoto Mount kila siku anaboronga lakini mbona anapangwa kucheza mara kwa mara sembuse Kovacic mchezaji bora wa club 2019/20?

Jibu ni kwamba Lampard ni mbinafsi, muaji wa vipaji, hana mbinu, kigeugeu, anatapatapa, mfa maji, mti aliouopanda sasa unateleza hana pa kujishika na ataangukia shingo
 
Mara ngapi Messi na Ronaldo mechi zinawakataa lakini mechi ijayo wanapangwa tena?

Ingekuwa kwamba mchezaji mechi mmoja inamkataa anapigwa bechi basi wachezaji wangekosekana wa kucheza uwanjani, kwa Chelsea ya sasa uwanjani angecheza tuu Mendy
 
We jamaa nimekufuatilia comments zako kwa muda mrefu.

Ukweli ni kwamba huwa unajichanganya mwenyewe, kuna muda unakuja vizuri kimawazo muda mwingine maruweruwe.

Mchezaji hawezi kupigwa bechi kila siku eti kwa sababu ameboronga dk 46 za mchezo. World classic players kibao duniani huwa kuna mechi wanaboronga, kila siku huwezi kuwa fit kiakili na kimwili.

Mtoto Mount kila siku anaboronga lakini mbona anapangwa kucheza mara kwa mara sembuse Kovacic mchezaji bora wa club 2019/20?

Jibu ni kwamba Lampard ni mbinafsi, muaji wa vipaji, hana mbinu, kigeugeu, anatapatapa, mfa maji, mti aliouopanda sasa unateleza hana pa kujishika na ataangukia shingo
Usijali mechi na Burnley atacheza ila muwe wavumilivu akicheza vizuri sawa akiboronha msiseme auzwe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom