Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

If LAMPARD continue coaching Chelsea, we will go 10 years without a trophy. The truth is that Chelsea is bigger than lampard.

He is a legend, yes but We Can't continue being like this because he is our legend. Some fans will say lampard is good. But look at his performance so far against big team. Very poor.

He lacks team selection(formation)
We need a big coach.

Sarri spend only a year and won a trophy
Same with Conte

Lampard is still gaining Experience in coaching. And Chelsea is not an Academy for young coaches.

Understand my point, A legend can come back anytime!!!

We have good and Excellent players, but no one to manage them well
Still there are some of fans in the world who have been blinded their eyes with strongest love feelings to Lampard as he needs more time to offer suitable football techniques to Chelsea FC players regardless of recognizing that shoes given to current head coach of the team are totally not enough to wear on his feet.

We are supposed to know that coaching competitively football is not fitting to every one legendary football player and that's why among retired players do not becoming to coach football teams players as we can refer to Kaka, Pele and soon.

Lampard has to be terminated as long as possible before entering Chelsea FC fans to endless regrets that will make them to forget what was historically done by Frank Lampard in recent years towards winning many quality trophies like EPL and UEFA CHAMPIONS LEAGUE.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Bora umeuliza wewe? Kova nimchazaji naemkubalisa anajua kupiga pasi za kwenda mbele sio kawa wengine side way pass, na huwa anajua kupandisha timu. Nashangaa sijui kwa nini siku hizi hapangwi! hapa ndipo panaponipa ukakasi. Lampard sio kocha kabisa.

Giroud pia, sijui kwa nini anakua chaguo la mwisho, wakati huyo tammy hamfikii hata robo ya uwezo wa Giroud. Lampard sio kocha wa kuifundisha chelsea bora afukuzwe tu.
Ningefurahi sana jana kama tungefungwa ili afukuzwe.
Tammy hana hata 50% ya kumfikia Giroud kiuwezo ktk ushambuliaji ingawa wote bado nawaona ni majanga lakini hapa Lampard anajidhihirisha kabisa jinsi gani alivyojaa uingereza mwingi kwa kumpanga Tammy akaaye muda wote nyuma ya mabeki na kumwacha Giroud nnje ya uwanja kwa mechi nyingi sana.

hata kwa Kova kweli mi naona hamtendei haki, kwa kikosi tulichokua nacho, sio wa kustruggle kumfunga man u. Akija kocha mwenye akili timamu hii chelsea itakua moto sana.Huyu akili kisoda hawezi kutufikisha popote
 
Natamani sana aje Allegry aliyewahi kuwa kocha mkuu wa Juventus ili tuweze kuwa timu bora Ulaya.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Maurizio Sarri Agrees To £6.1m Contract At Juventus
May 28, 2019
Daah.. Itatu cost sana hii, msimu ujao lazima turudi kwenye mihangaiko.
Niliwa hi kusema kuondoka kwa babu Sarri tutaumia na mm nilikua mmoja wa waliopinga Sarri kuondoka na sikuona kama ulikua wakati sahihi Lampard kuja lakini kwakua tupo JF basi sikua na cha kusema.

Wengi wao waliomsifia kwa magazeti sa ivi ndio wanaongoza kampeni kumuondoa. Toka mwanzo Lampard hakua chaguo sahihi kwetu Sarri alitufaa sana lakini hii mihemuko itaendelea kutu cost kila siku.
 
Bora umeuliza wewe? Kova nimchazaji naemkubalisa anajua kupiga pasi za kwenda mbele sio kawa wengine side way pass, na huwa anajua kupandisha timu. Nashangaa sijui kwa nini siku hizi hapangwi! hapa ndipo panaponipa ukakasi. Lampard sio kocha kabisa.

Giroud pia, sijui kwa nini anakua chaguo la mwisho, wakati huyo tammy hamfikii hata robo ya uwezo wa Giroud. Lampard sio kocha wa kuifundisha chelsea bora afukuzwe tu.
Ningefurahi sana jana kama tungefungwa ili afukuzwe.
Kweli man Tammy tu timu ya taifa kupata # n kipengele.....afu Leo hii eti awe chaguo LA kwanza mbele ya giroud! Dah huyu giroud anaonekana yupo loyal sana n Chelsea kuondoka angeondoka hata January yaan
 
Cha ajabu majirani zetu Arsenal wanafanya vizuri kwenye ligi ila tuko juu yao, je Chelsea ikianza kufanya vizuri tutawaacha wapi?
 
Mbona Lampard alimkacha Tammy mwanzoni mwa mwaka huu hadi ligi ilipoisha, imekuwaje tena akamrudia
 
Kovacic kapunguaje kiwango? Hiv unaangaliaga mpira kweli?
Nafuatilia sana ndugu, hakuna mechi ya Chelsea nisiyofuatilia kwa 90% na kila mchezaji namfuatilia kwa karibu kuliko unavyodhani, amekuwa akipoteza possession kitu ambacho hakuwa nayo. Kova ni mchezaji mzuri kama alivyo Kante lakini kwa nyakati tofauti kila mchezaji anaweza kupanda na kushuka
Hata hivyo pamoja na kushuka klidogo Jorginho yuko susceptible/vulnerable zaidi ya Kova kwenye midfield hasa kipindi cha pili
 
Lampard hawezi kukwepa lawama za kushuka viwango vya wachezaji

Ninavyofahamu Kocha anaweza kuchangia kwa namna moja au nyingine kuua kiwango cha mchezaji au kukipandisha kiwango cha mchezaji.

Tumeona jinsi pep & klop walivyoboresha na kupandisha viwango vya wachezaji. Staki kuamini sana kwamba eti kiwango cha Kovacic kimeshuka bila kuchangiwa na ubinafsi wa Lampard.

Kovacic mchezaji bora wa club msimu ulioisha, hapangwi kila siku anasugua bechi unategemea angemaintain vipi kiwango chake kwa kukaa bechi?

Kovacic ni very talented player kocha mwenye akili timamu hawezi kumweka bechi.

Tusishangae huko mbeleni Pulisic akasugua bechi kwa kushuka kiwango.
 
Naomba Mungu zidane afukuzwe Madrid tumchukue sisi mambo yatakaa sawa kabisa.Blue is the best color
 
Lampard anauwa viwango halafu ana bifu sana na wachezaji cheki Rudiger naw kovac mpuuuz imetosha hata kama ni legend hapan
 
Lampard hawezi kukwepa lawama za kushuka viwango vya wachezaji

Ninavyofahamu Kocha anaweza kuchangia kwa namna moja au nyingine kuua kiwango cha mchezaji au kukipandisha kiwango cha mchezaji.

Tumeona jinsi pep & klop walivyoboresha na kupandisha viwango vya wachezaji. Staki kuamini sana kwamba eti kiwango cha Kovacic kimeshuka bila kuchangiwa na ubinafsi wa Lampard.

Kovacic mchezaji bora wa club msimu ulioisha, hapangwi kila siku anasugua bechi unategemea angemaintain vipi kiwango chake kwa kukaa bechi?

Kovacic ni very talented player kocha mwenye akili timamu hawezi kumweka bechi.

Tusishangae huko mbeleni Pulisic akasugua bechi kwa kushuka kiwango.
Atoke hakuna namna
 
Naomba Mungu zidane afukuzwe Madrid tumchukue sisi mambo yatakaa sawa kabisa.Blue is the best color
Atafukuzwaje wakati juzi tu kwenye eclasico wamewabomoa Barca nyumbani kwao Camp nou 3-1 na wamecheza clasicla game ambayo hata mim i sikuamini Madrid wameitoa wapi ile game plan ya kucheza kwa kasi na acuracy ya juu sana kwenye passing.
 
Chelsea tumezoe kuajiri kocha wa misimu miwili labda tungerudi kwenye huo utamaduni wetu maana ulikuwa unalipa.
Kwa hiyo Lampard akifukuzwa tuko ndani ya utamaduni wetu.
Tofauti ni kwamba hao tuliowafukuza walitupa kikombe au EPL au UCL au Europa au FA au EFL lakini Lampard akifukuzwa hakuna hata kikombe cha mbuzi anayotuachia
 
Screenshot_20200926-213723.jpg
 
Lampard ni kocha, maoni yako ni very extreme. Kila kocha ana madhaifu yake, hata hao unaondani ni makocha wazuri kuna wakati utawaita nao sio makocha. Unapotoa maoni uwe rational. Natumaini Lampard atakuja na mbinu za kushinda mechi kwa vile kwanza naona first eleven hiyo inataka kutulia.
Kinachomwangusha pia Lampard ni form kuteremka ya wachezaji muhimu kama Kovacic, Kante, Rudiger hao wakiwa kwenye ubora wao, Chelsea inakuwa moto
We jamaa unaandika mwenyewe au unacopy sehemu bila kusoma then unakuja kupaste humu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom