bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,705
Wanao jua mpira wanaielewa championship..!
Ngoja tuwawahi wapiga ramli.View attachment 1106291
Wachezaji wa Championship kibao wanawaniwa na timu za EPL nyie sijui mna matatizo gani.? Daniel James wa Swansea anawaniwa na Man Utd, Tammy zipo ofa kibao moja ni ya Everton. Wanachokiona kwa hawa wachezaji sijui nyie ni kina nani hamkioni? Championship mnaichukuliaje wazee!!
Hivi hamjui kinachomjenga mchezaji ni pamoja na kupata playing time ya kutosha na ndio maana wanapelekwa kwa mkopo.!! Mnaenelewa hata maana ya Field kwa wanafunzi, faida zake labda?
Mnisamehe najaribu kutafuta namna nzuri kuwaelezea mkanielewa.