Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Hapo kweli anazinguaga aiseeLampard anachojua ni kuua vipaji. Pulisic anafanya vizuri upande wa kushoto, kocha anampanga kulia huku Odoi yupo benchi. Anafanya sub anamuingizia Abraham huku Giroud na magoli yake yupo benchi. Analazimisha Jogniho amalize dk 90 Huku Kovacic tuko benchi. Goli 3 zitaacha kurudi?
Lampard yupo Chelsea halafu fundi Ancellot yupo Everton hii ni dharau kwa tasnia ya ukocha.
Leo akimuweka Pulisic kushoto. ,amuanzishe na yule afande kova,atembeze virungu hapo kati ,
Mnaimaliza mech first half, kama ile mech ya nusu fainal FA ,