Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sasa kama wana uhakika kwanini wamchukue Technical director akadake? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mendy Ni mtu wa injury Sana ukimtoa huyo hatuna kipa mzuri ndio maana Cech akawekwa Kama emergency
 
Hakuna mpira nisioupenda kama huu wa kupiga pasi fupifupi nyingi halafu taratibu,nachukia hasa kupiga pasi hadi ndani ya box la 18,wachezaji hawapigi mashuti ya nje au hata ndizi,mixer kila muda kurudisha mpira nyuma,mda mwingine mara wachome..yaani ule mpira wa siku ile na sevilla niliboreka sana hadi nikasema haya si ndo mambo ya sarribol haya,kama mechi ya kesho tutaingia kwa approach ile ya uchezaji basi hawa manyuuu watatuazibu sana,kujilinda zaidi ndo iwe game plan yetu ya kwanza kabisa,tusifunguke kiboyaboya,tena ikiwezekana tuanze na back 3....
 
Umenikumbusha "Michael Ballack" daaah...! hakika kizuri hakidumu maana hii mashine ilikuwa inapigaga mashuti miguu yote na kutundika nyavu wakati wowote ikiwa nnje ya 18.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Roman Abramovich is reportedly ‘courting Massimiliano Allegri’ as a managerial replacement for Frank Lampard in case results continue to disappoint under the Chelsea boss.View attachment 1608040
According to Italian outlet Quotidano Sportivo, the Chelsea owner is lining up the Italian tactician as he ‘wants to win’ and won’t let sentiment stop him if he feels the Blues needs a change in management.
Huyu jamaa aje tuu
 
Unajua vitani kunawatu hawafai kabisa kwenda kupigana frontline wewe ni miongoni mwao ni mtu usiyejiamini,Sasa nakwambia hivi leo Chelseafc anashinda tena vizuri tu.
Sasa utaenda vitani bila kujua mbinu za kivita? Adui unamzuia vipi? Unamshambulia vipi? Leo tunaingia kwenye mtego wa adui kama kawaida yetu.
 
Nahisi Game ya leo huenda lamps akaanza na kante,kova na jorgi kama alivyocheza kwenye fa cup msim uliopita
 
Kikosi cha Chelsea kikapata kocha anayejua kazi, ni kikosi hatari sana.
Tena hatare sana, chelsea tuna wachezaji wazuri sanaaa, tungepata kocha mwenye uwezo wa kuboresha viwango vya wachezaji uwanjani na mbinu kali tungekuwa tishio. Super Frank anadumaza viwango vya wachezaji na Mbinu zake za kuunga na soletepu ndio kabisa wachezaji wanajeuka vituko.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom