Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwanini Christensen kwenye mabano umeweka homegrown wakati yule Ni mdemmaki
home grown sio lazima awe mwingereza. Bali ni mchezaji aliyekulia kwenye academy za uingereza angalau misimu mitatu kabla hajafikisha miaka 21. Christensen alisaini Chelsea tarehe 7 February 2012 wakati huo akiwa na miaka 16 na toka hapo alikuwa kwenye academy ya Chelsea na hivyo kutimiza sharti la kuitwa Home Grown
 
Kwa nini watu wanasifia droo ya 0-0 na Sevilla? Hata Lampard nimemwona baada ya mechi anatabasamu WHY? si bora wangefungana hata 10-10 au hamjui kuwa magoli ya kufunga yanaipa timu point kama maeneo mengine wakifungana? Mimi kwa maoni yangu ningependelea kutwangana kwa magoli hadi kieleweke
 
Kepa alipigwa 7 na huyo aliyemwazibu Oblack kwahiyo nani bora hapo[emoji28][emoji28]
Kepa hakupigwa goli 7, Kwenye mechi zote 2 zidi ya BayernMunich Msimu uliopita golini alikua Willy Caballero na sio kepa.
 
atashuka2[emoji16][emoji16]
JamiiForums282934151.jpg
 
Roman Abramovich is reportedly ‘courting Massimiliano Allegri’ as a managerial replacement for Frank Lampard in case results continue to disappoint under the Chelsea boss.View attachment 1608040
According to Italian outlet Quotidano Sportivo, the Chelsea owner is lining up the Italian tactician as he ‘wants to win’ and won’t let sentiment stop him if he feels the Blues needs a change in management.
Mapema hivi, Lampard atakuwa krissmass kweli ?
 
Roman Abramovich is reportedly ‘courting Massimiliano Allegri’ as a managerial replacement for Frank Lampard in case results continue to disappoint under the Chelsea boss.View attachment 1608040
According to Italian outlet Quotidano Sportivo, the Chelsea owner is lining up the Italian tactician as he ‘wants to win’ and won’t let sentiment stop him if he feels the Blues needs a change in management.
Mkuu ńakukumbusha tu kuwa Lampard bado ni kocha wa chelsea
Screenshot_20200926-213723.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom