Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Unampiga bench azplicueta mtu anaepush timu kisa James kweli?
Jumamosi tuko na Man United. Timu tuliyonayo sio pana na ni lazima baadhi ya wachezaji wapumzishwe, Kwanza Kante kucheza ilikuwa ni ku-risk. Group stage ina mechi 6 kuna room kubwa ya kupata points za kutosha kushika nafasi ya kwanza au ya pili. Kwa hiyo naombeni shime tunzeni hisia na hasira zenu
 
Huwezi kumlinganishga hata kidogo kipa na Mchezaji wa ndani ya uwanja. Makipa wanadaka hata wakiwa zaidi ya 40
Halaf kingine wanachoshindwa kuelewa issue ya ozil ni tofauti

Ozil issue yake kubwa ni ile ya china juu ya mauaji yalikuwa yanafanyika, na hii kitu imeigharim tim kisoko kama mtu anajua asia ndipo hela ilipo
 
Sioni mninu zozote zaidi tu ya uwezo wa wachezaji alafu upuuzi mwingine anaweza kuufanya nikumbakisha jorginho naona muda si mrefu atakula red card Pulisic anamchezesha out of position ilamradi mtoto wake mpendwa acheze
Mninu ndio kitu gani mzee? Relax
 
Kajumlishwa kama kipa wa dharura endapo ikitokea makipa wote wa 3 wamepata maambukizi ya corona kwa wakati mmoja au kwa kutofautiana siku chache, hapo ndipo tutamuona cech
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu fala alifungisha magoli ya kizembe kule baku, akikanyaga nyasi tena wamtoe kichwa hko
 
Haitowezekana, coz nafasi yake wamesema ni kama emergency cover ndio maana lamps amesema hategemei kumuona cech akicheza ila kutokana na hali ilivyo ya corona wameamua kumjumuisha tu endapo atakapohitajika atacheza ikiwa tu magk wote wanaumwa/majeruhi
Na yeye ajiweke kabisa maana karavati hatumwelewi,
 
Na kwako unaona kama ni jambo la kawaida [emoji23], au unataka watu wachukulie ni kawaida [emoji2379]

Hapa tunaongelea technical director ujue,

Emergency could be U23, U21, U18... Why Technical Director [emoji23][emoji24][emoji23][emoji24][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hawawezi kukuelewa, maana kocha wao nae anasema karavati akizingua anaingia mwenyewe
 
Good news
Chelsea tuna injury moja tu ambaye ni Bill Gilmour naye anarudi tar 21/11/2020
 
Kwa nini team zinapopata injury ya magk kwa nini wasitumie hao from U18,U21 na badala yake huwa wanaenda kunua kipa mwingine
Sasa kwahiyo na nyinyi mkaamua kusajiri TD akadake? [emoji23] [emoji23] Kwanini usikubali tu kuwa makipa yenu ni magarasa. [emoji23] [emoji23] [emoji23] Cech kasema hayafundishiki, inabidi adake mwenyewe...
 
Sasa kwahiyo na nyinyi mkaamua kusajiri TD akadake? [emoji23] [emoji23] Kwanini usikubali tu kuwa makipa yenu ni magarasa. [emoji23] [emoji23] [emoji23] Cech kasema hayafundishiki, inabidi adake mwenyewe...
Mendy Ni garasa?
 
Halaf kingine wanachoshindwa kuelewa issue ya ozil ni tofauti

Ozil issue yake kubwa ni ile ya china juu ya mauaji yalikuwa yanafanyika, na hii kitu imeigharim tim kisoko kama mtu anajua asia ndipo hela ilipo
Mkuu hii ya ozil hebu iweke vizur mkuu ozil alifanyeje china [emoji630]..?
 
Unampiga bench azplicueta mtu anaepush timu kisa James kweli?
Hatukatai vijana ila vijana wote huazia Beach wanaingia kwa mfumo taratibu yye anawaingiza wote vuuuuuhh afukuzwa tu hajui kugungisha yule alitakiwa uzurule kwanza ndio aje darajan muda wake ulikuwa bado tumemuwaisha kuku ile halafu inazingua san
 
Chelsea's Premier League squad

GK:

  1. Edouard Mendy,
  2. Kepa Arrizabalaga,
  3. Willy Caballero,
  4. Petr Cech.
Backline:
RB
  1. Reece James (U21),
  2. Cesar Azpilicueta,
CB
  1. Thiago Silva,
  2. Kurt Zouma,
  3. Andreas Christensen (homegrown),
  4. Fikayo Tomori (homegrown),
  5. Antonio Rudiger,
LB
  1. Ben Chilwell (homegrown),
  2. Marcos Alonso,
  3. Emerson Palmieri.
Midfielders:
DM

  1. N'Golo Kante,
  2. Jorginho,
CM
  1. Mateo Kovacic,
  2. Billy Gilmour (U21),
CAM/AM
  1. Mason Mount (U21),
  2. Kai Havertz (U21),
Forwards:
RW

  1. Hakim Ziyech.
  2. Callum Hudson-Odoi (U21)),
LW
  1. Christian Pulisic,
ST
  1. Timo Werner
  2. Tammy Abraham (homegrown)
  3. Olivier Giroud
 
Chelsea's Premier League squad

GK:

  1. Edouard Mendy,
  2. Kepa Arrizabalaga,
  3. Willy Caballero,
  4. Petr Cech.
Backline:
RB
  1. Reece James (U21),
  2. Cesar Azpilicueta,
CB
  1. Thiago Silva,
  2. Kurt Zouma,
  3. Andreas Christensen (homegrown),
  4. Fikayo Tomori (homegrown),
  5. Antonio Rudiger,
LB
  1. Ben Chilwell (homegrown),
  2. Marcos Alonso,
  3. Emerson Palmieri.
Midfielders:
DM

  1. N'Golo Kante,
  2. Jorginho,
CM
  1. Mateo Kovacic,
  2. Billy Gilmour (U21),
CAM/AM
  1. Mason Mount (U21),
  2. Kai Havertz (U21),
Forwards:
RW

  1. Hakim Ziyech.
  2. Callum Hudson-Odoi (U21)),
LW
  1. Christian Pulisic,
ST
  1. Timo Werner
  2. Tammy Abraham (homegrown)
  3. Olivier Giroud
Kwanini Christensen kwenye mabano umeweka homegrown wakati yule Ni mdemmaki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom