Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

•Wachezaj wapi wanafurahishwa or wanapendelewa

•Mount ni mchezaj mzuri tu, kujituma kwake ndio kunamfanya apangwe game ya wba team ilikuea iko hovyo ils nimount ndie aliyeirudisha team mchezoni
Kila mchezaj huwa na downs zao hawez cheza 30+ yuko kwa form haiwezekani

•Utajuaje first eleven wakat wachezaj wengine ni majeruhi na wachezaj wengin ni kama gar la mkaa, game hii wanacheza vizur game 3 zijazo wanacheza hovyo
Ila Pulisic alitakiwa acheze position yake ya left sio right
Mount anaweza kucheza katikati na kuli angpangwa huko
 
Hata rudiger na yeye sio wa kumuamin kwa ss kama uliangalia game ya ujeruman na swiss utaelewa
Hapo tuombe tu Zouma na Silva wasipate majeruhi, Rudiger atahitaji muda kurudi kwenye form
 
Mkuu makocha huwa tunawapa lawama lakini kiuhalisia hawastahili kwa kiasi ambacho sisi tunalaumu. Kila kocha anamfumo wake wa uchezaji vile anataka wachezaji wake wawe. So kazi yake ni kuwapa alichonacho wachezaji wakifuate na ndio maana kuna makocha wana wachezaji wao wanawapenda kwa sababu wanaona kabisa kupitia hao wanaweza kusaidia na wengine mchezaji anakua kama engine ya timu mfano muangalie Jorginho wa Sarri then muangalie huyu Jorginho wa Lampard, Sasa katika situation hiyo unamuona Lampard kama haeleweki ila anachojaribu kuwasaidia waweze kuuelewa mfumo wa uchezaji wake then hapo hapo wakati bado hajamaliza sisi mashabiki tunaanza kum pressure kwa kutaka ahamie plan B na wakati plan A bado haija tick.

Lampard hajapata tu muda wa kutosha na anafanya kazi kwa pressure sana.
Kwa wengine hicho unachoongea ni kigiriki hawatakuelewa
PEP sasa hivi anapata shida kwa sababu tu kuna wachezaji wamepungua waliokuwa wanamuelewa na wengine uzee umeshawanyemelea. Kocha huwa anafeli akiwakosa wachezaji wanaoelewa falsafa yake. Lampard pia anashida na technical personel wa defence tena kubwa. Anatakiwa aishauri board imuajiri the right personnel au kama Petrt Cech ataweza awasaidie kwenye upande wa defending. Mimi naamini hata tusiponunua akina Rudiger, Tomori na Zouma wakifundishwa vizuri wanaweza kuwa CB wazuri, ikishindikana tuingie sokoni tena haraka
 
Ndio naiman na lampard

Mount anacheza AM or CM
Mount anacheza nafasi nyingi
Winga zote mbili anacheza (LW na RW)
Kiungo mshambuliaji pande zote mbili anacheza CAM anacheza
Na hizo nafasi nilizozitaja zote kashachezeshwa
 
Huyu Reece James anapandisha mashambulizi na kumimina krosi/virumbirumbi vizuri sana, ila sasa ni mzito kushuka kuja kucover space timu ikishambuliwa,
Wewe hamia Chelsera tu kwa sababu unaijua Chelsea kuliko hata baadhi ya mashabiki wa Chelsea.
-UMESEMA SAWA NDG
 
Kwa wengine hicho unachoongea ni kigiriki hawatakuelewa
PEP sasa hivi anapata shida kwa sababu tu kuna wachezaji wamepungua waliokuwa wanamuelewa na wengine uzee umeshawanyemelea. Kocha huwa anafeli akiwakosa wachezaji wanaoelewa falsafa yake. Lampard pia anashida na technical personel wa defence tena kubwa. ANatakiwa aishauri borad the right personel waajiriwe au kama Petrt Cech ataweza awasaidie kwenye upande wa defending. Mimi naamini hata tusiponunua akina Rudiger, Tomori na Zouma wakifundishwa vizuri wanaweza kuwa CB wazuri, ikishindikana tuingie sokoni tena haraka
Rudiger,zouma,tomori na christensen wakitulia vizur na wakatumia uwepo wa thiago kujufunzs na kupunga makosa yao
Wakijirekebisha tu wakaacha kufanya error tunazozifanya
Tunaweza kuchallange ubingwa maana kule mbele hakuna shida

Kingine majeruh ya mda mrefu tusiwe nayo, hasa huku nyuma huku kwa mendy na thiago na chilwel
 
Kwa hiyo hakuna mwenye afadhali
Kinachomsumbua kwa sasa Rudiger anakosa concertation inayomfanya aache nafasi kubwa kwa wafungaji tofauti na Zouma na Silva. Sasa Christensene mara yuko fit mara kaboronga tangu aje Chelsea amekuwa hivyo ndio maana hapati namba ya kudumu
 
Mount anacheza nafasi nyingi
Winga zote mbili anacheza (LW na RW)
Kiungo mshambuliaji pande zote mbili anacheza CAM anacheza
Na hizo nafasi nilizozitaja zote kashachezeshwa
Siku akiperform watu huwa hawaongei y mount kachezeshwa nafas ambayo siyo yake
Ils siku team ikafungwa or draw watakuja hapa lamps anapendelea anafurahish waingereza wenzake maneno mengi
 
Siku akiperform watu huwa hawaongei y mount kachezeshwa nafas ambayo siyo yake
Ils siku team ikafungwa or draw watakuja hapa lamps anapendelea anafurahish waingereza wenzake maneno mengi
Hasa Pulisic ndio jana kawekwa kusiko kwake
 
Kwa wengine hicho unachoongea ni kigiriki hawatakuelewa
PEP sasa hivi anapata shida kwa sababu tu kuna wachezaji wamepungua waliokuwa wanamuelewa na wengine uzee umeshawanyemelea. Kocha huwa anafeli akiwakosa wachezaji wanaoelewa falsafa yake. Lampard pia anashida na technical personel wa defence tena kubwa. ANatakiwa aishauri borad the right personel waajiriwe au kama Petrt Cech ataweza awasaidie kwenye upande wa defending. Mimi naamini hata tusiponunua akina Rudiger, Tomori na Zouma wakifundishwa vizuri wanaweza kuwa CB wazuri, ikishindikana tuingie sokoni tena haraka
Hawa jamaa hawajui madhara ya kubadilisha badilisha makocha yan kocha anahenyesha wachezaji wanapambana wanapata kombe shida inakuja msimu mwingine ukianza hali inakua ngumu zaidi, morali inapotea hiyo inaitwa second season syndrome. Lakini kama kocha atakaa na wachezaji kwa misimu mi3 na kuendelea inawajenga wachezaji kuweza kumuelewa zaidi kocha na mifumo yake lakini pia kuwasaidia kudumu kiushindani kwa muda zaidi.

Cheki Liverpool walivyo maintain peak wamechukua UEFA msimu uliofuata wakachukua EPL sijui msimu huu itakuaje hiyo ni kwa sababu wameelewana na vizuri sana. Kikosi alicho anaza nacho Klopp sifhani kama kwa sasa kuna mchezaji hata mmoja labda Henderson may be. Sasa Lampard naye anahitaji muda kuweza kuziondoa hizi Deadwood kama Christensen, Tomori japo alianza na kina Luiz na Willian
 
Mkuu makocha huwa tunawapa lawama lakini kiuhalisia hawastahili kwa kiasi ambacho sisi tunalaumu. Kila kocha anamfumo wake wa uchezaji vile anataka wachezaji wake wawe. So kazi yake ni kuwapa alichonacho wachezaji wakifuate na ndio maana kuna makocha wana wachezaji wao wanawapenda kwa sababu wanaona kabisa kupitia hao wanaweza kusaidia na wengine mchezaji anakua kama engine ya timu mfano muangalie Jorginho wa Sarri then muangalie huyu Jorginho wa Lampard, Sasa katika situation hiyo unamuona Lampard kama haeleweki ila anachojaribu kuwasaidia waweze kuuelewa mfumo wa uchezaji wake then hapo hapo wakati bado hajamaliza sisi mashabiki tunaanza kum pressure kwa kutaka ahamie plan B na wakati plan A bado haija tick.

Lampard hajapata tu muda wa kutosha na anafanya kazi kwa pressure sana.
Kiongozi unaona nini special FL anakileta tokea nusu ya msimu uliopita zaidi ya game 25 sioni positive improvement upande wa kudefend matatizo yaleyale toka derby county Klopp hakuwa na mafanikio misimu 3 ya mwanzo ila alikuwa na positive progress big game unamuona kabisa ni threat, Sisi ni mabingwa wa kupossess kwenye area isiyo na madhara kwa adui wachezaji hawana fighting spirit ya kichampion yaani timu huwa inakubali matokeo kirahisi, pili napoongelea plan B sio ya kimfumo tu huwezi dominate league kwa flat tactic kuna game unatakiwa ushinde kwa long range, kutengeneza mazingira ya penalty, freekicks sasa sion kama kuna kitu design hiyo tunagenerate
 
johsee nakuunga mkono huyo jamaa anamtetea Sana Lampard sijui anampa Nini? Hatuwezi kuchukua ubingwa ikiwa kocha Ni Lampard
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom