Mfano hata kama Ziyech hajawa fit kabisa Odoi angecheza vizuri hapo. Inafct udhaifu wa FL kama makocha wengine ana mapenzi makubwa kwa Mount andmweka hata awe golieNa kwanini acheze LW au RW wakati wapo natural wingers wamejaa... Mount ni wa kuingia kipindi cha pili
Ziyech>mount
Pulisic>mount
Kai> mount
Au kama lampard anampenda sana akacheze nafasi ya zouma
Mifano mizuri ni PEP kwa MAn city na Klopp kwa Liver, walisota sana hadi timu ilipokamilika ndipo wakafaidi matunda. Kocha yeyote asipopata wachezaji wanaofaa ataonekana hafai, hana mbinu nkKijana tuongee kwa hoja usifuate tu moyo wako. Hata kwa Sarri mlisema ivyo ivyo mlichoshindwa kuelewa ni alikosa baadhi ya wachezaji kuikamilisha Chelsea tuliyoitaka. Sasa hivi mpo kwa Lampard na hata akija kocha mwingine mtasema ivyo ivyo tu.
Hifadhi hizi comments na msije kudelete kama alivyofanya King Ngwaba kwa Klopp Out ya mwaka 2017Ni suala la muda tu tutakubaliana kuwa kwa sasa lampard hayupo level ya kuinoa chelsea, labda kama lengo sio kuchukua vikombe kwenye misimu hii miwili inayofuatia.
Mfukunyua makaburi maarufuHifadhi hizi comments na msije kudelete kama alivyofanya King Ngwaba kwa Klopp Out ya mwaka 2017
Kama marehemu alizikwa bila kufanyiwa Postmortem lazima tufukunyueMfukunyua makaburi maarufu
Yan mashabiki wanafuata upepo tu kama bendera. Huyu Barkley na tabia zake za ulevi mashabiki washasahau.Ross Barkley kila mechi sasa anafunga, kaipaiza Aston Villa goli moja bila dhidi ya Leicester City
Hii inaonyesha kuwa mchezaji anafit kwenye mfumo wa kocha fulani na kocha mwingine anaweza asifit kabisa
Na kule Dean amemfanya Striker kabisa
Mashabiki wa Chelsea nao wapandisha hisia na kusema mkataba wake wa mkopo usitishwe arudi darajani
Kaka vipi nakumbuka ulisema utarudi mpk lamps akishafukuzwaCHELSEA MANAGER FRANK LAMPARD CAN NOT BE SHOWING CONCERN ABOUT THE MIDFIELD.
Frank Lampard needs to find solution for imbalance midfield of Chelsea.
After finishing the match against Southampton, Chelsea manager Lampard did not seem to focus on the midfielder.
The match has been drawn due to the common mistakes of midfielders. That was quite ignored by Frank Lampard.
Furthermore, Squad members are not getting any kind of support from the head coach of team Chelsea Frank Lampard.
Frank Lampard failed to concern over the center back group of Chelsea.
It is very disappointing to watch the Saturday match where Chelsea cannot control Southampton and unsuccessful to achieve one more goal for the lead. The 3-3 draw against Southampton was very disappointing.
The Kepa Arrizabalaga personally felt that he was responsible for the second goal strikes by Southampton.
In the end, Kurt Zouma is equally blamed for the second goal against Southampton.
But the fact is they want one more member for protection. Their need for one more member has ignored by Chelsea’s manager frank Lampard.
So Kurt Zouma and Kepa Arrizabalaga are not fully responsible for this.
French Professional N’Golo Kanté was not a good central midfielder for Chelsea that he showed in the last match.
He is very disappointing. The tag of a best defensive midfielder is doesn’t suitable for himself.
Jorginho is not a defensive midfielder. He constantly looking for a ball and stroll around it. Both are playing in the same way that’s why they failed to defend.
The attacking midfielder Kai Havertz accepts his fault and regrets that he did not give a good result.
He was slightly upset about his performance against Southampton.
Subsequently, the match was good at 42 minutes after that they commit a mistake which is not acceptable and disappointing.
Chelsea in the lead 2-0, but due to the mistake of one person, the whole team gets upset. The first goal strike of team Southampton only because of the mistake of Kai Havertz. The entire team was frustrated about the result, he said.
Afterward, Havertz continue his statement and said they got it to 3-2. They want to be excited about the result and get the win at home but they didn’t, he added.
Now the team has strike together and hopefully can better next time, he concluded.
Naona mara nyingi formation anayotumia huwa ni 4-3-3 ambayo mara nyingi unakuta DM anacheza Jorginho au Kanté, hii alotumia juzi huwa inakuja mara chache sana.Kuna wataalamu wamechambua kwenye mtandao fulani kuwa kinachomponza Lampard ni formation anayotumia ambayo inaifanya viungo washindwe kuwalinda mabeki
Labda tuseme sasa imefikia wakati Lampard aachane na 4-2-3-1 na aende kwenye formation rafiki na nyuma, kati na mbele yaani formation inayoendana na wachezaji wote kwa sababu 4-2-3-1 inawapendelea kule mbele tu
Angejaribu kwanza 3-4-3 ya kuwatumia wing-backs
Angejaribu pia 4-3-3 ya kumtumia DM mmoja na CM wawili wa pembeni
Awe kama Conte kwa kubadili tu formation 2017 ilimpa ubingwa wa EPL
343 sidhan kwa sasa kama inaweza tupa matokeo mfululizo kama kwa ConteKuna wataalamu wamechambua kwenye mtandao fulani kuwa kinachomponza Lampard ni formation anayotumia ambayo inaifanya viungo washindwe kuwalinda mabeki
Labda tuseme sasa imefikia wakati Lampard aachane na 4-2-3-1 na aende kwenye formation rafiki na nyuma, kati na mbele yaani formation inayoendana na wachezaji wote kwa sababu 4-2-3-1 inawapendelea kule mbele tu
Angejaribu kwanza 3-4-3 ya kuwatumia wing-backs
Angejaribu pia 4-3-3 ya kumtumia DM mmoja na CM wawili wa pembeni
Awe kama Conte kwa kubadili tu formation 2017 ilimpa ubingwa wa EPL
King Ngwaba.Hifadhi hizi comments na msije kudelete kama alivyofanya King Ngwaba kwa Klopp Out ya mwaka 2017
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Muoka mikate on dutyRoss Barkley kila mechi sasa anafunga, kaipaiza Aston Villa goli moja bila dhidi ya Leicester City
Hii inaonyesha kuwa mchezaji anafit kwenye mfumo wa kocha fulani na kocha mwingine anaweza asifit kabisa
Na kule Dean amemfanya Striker kabisa
Mashabiki wa Chelsea nao wapandisha hisia na kusema mkataba wake wa mkopo usitishwe arudi darajani
Werner na Kai waje hajawahi kutumia 4-3-3Naona mara nyingi formation anayotumia huwa ni 4-3-3 ambayo mara nyingi unakuta DM anacheza Jorginho au Kanté, hii alotumia juzi huwa inakuja mara chache sana.