Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Auba anaweza kuwa ni calibre ya Willian, akishaweka karatasi saini basi tena na umri huu, Arsenal wana kazi tena kubwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Aubameyang ni suala la muda tu
 
Kiongozi unaona nini special FL anakileta tokea nusu ya msimu uliopita zaidi ya game 25 sioni positive improvement upande wa kudefend matatizo yaleyale toka derby county Klopp hakuwa na mafanikio misimu 3 ya mwanzo ila alikuwa na positive progress big game unamuona kabisa ni threat, Sisi ni mabingwa wa kupossess kwenye area isiyo na madhara kwa adui wachezaji hawana fighting spirit ya kichampion yaani timu huwa inakubali matokeo kirahisi, pili napoongelea plan B sio ya kimfumo tu huwezi dominate league kwa flat tactic kuna game unatakiwa ushinde kwa long range, kutengeneza mazingira ya penalty, freekicks sasa sion kama kuna kitu design hiyo tunagenerate
Klop bila kumnuna vvd na alison beki zake zilikuaje
Unakuta kule mbele wakina salah,mane walikuwa wanafanya kazi zao ubov ukawa kwa kina karius/mignolet,lovren na wenzak

Sahiv shida yetu kubwa ni beki zetu maana tunafunga lakin hatuwez kuzuia ni kutokana na kutokuwepo kiongozi pale nyuma atakae wacomand wakina zouma n co

Hii timua timua yamakocha ndio inayoturudisha nyuma, tumpe mda lampard ndio kwanza tuko gw5
 
Rudiger,zouma,tomori na christensen wakitulia vizur na wakatumia uwepo wa thiago kujufunzs na kupunga makosa yao
Wakijirekebisha tu wakaacha kufanya error tunazozifanya
Tunaweza kuchallange ubingwa maana kule mbele hakuna shida

Kingine majeruh ya mda mrefu tusiwe nayo, hasa huku nyuma huku kwa mendy na thiago na chilwel
Christensen hafundishiki huyo Ni wa kuuzwa kabisa
 
Wewe hamia Chelsera tu kwa sababu unaijua Chelsea kuliko hata baadhi ya mashabiki wa Chelsea.
-UMESEMA SAWA NDG
Hiyo chelsera ni timu mpya? [emoji23] [emoji23]

Mimi ni mwanasoka na naweza kuwa naangalia game nyingi za chelsea zaidi ya wengi humu, ila arsenal ikicheza hata kazini siendi,

London is Red
 
Siku akiperform watu huwa hawaongei y mount kachezeshwa nafas ambayo siyo yake
Ils siku team ikafungwa or draw watakuja hapa lamps anapendelea anafurahish waingereza wenzake maneno mengi
Huyu mason mount ana gundu humu, ila ni ni talented Aiseeehhh, Southgate anamkubali kuliko Jack grealish, lampard anamwelewa vibaya ila visolokokwinyo kutoka bong'oankusweke wanamdharau,
Huyu nikiweka pale arsenal huku saka, gabi na auba nyieeeeee
 
Christensen hafundishiki huyo Ni wa kuuzwa kabisa
Na kuuza sikazi rahis, leo hii tumeshindwa kuwauza wakina alonso/emerson kutokana kudemand pesa nzuri

Christensen wakat wa kumuuza ulikuwa kipindi kile yupo b. Monchegladbach

Wakati wa conte alicheza vizuri shida ikaanzia baada ya kuchoma ile mech ya barce uefa baada ya hapo nikama makosa yake ndio yakaanza kujionesha

Tomori na zouma wanatakiwa wacheze na seniour player na siwenyewe kwa wenyewe maana ni kama wanaogopana kuwasiliana or mmoja kumcomand mwenzake
 
Mount anacheza #10 lakini pia anaweza kucheza kama Wing.

Naamini Lampard anatupa makombe lakini siyo msimu huu na kama itatokea msimu huuni kheri
Na kwanini acheze LW au RW wakati wapo natural wingers wamejaa... Mount ni wa kuingia kipindi cha pili
Ziyech>mount
Pulisic>mount
Kai> mount

Au kama lampard anampenda sana akacheze nafasi ya zouma
 
Lampard msimu uliopita hakuwa na presha kwasababu timu ilikua haitarajii chochote kwa kuwa tulifungiwa usajili...

Ila mwaka huu, ha ha ha hatoboi xmas
 
Na kwanini acheze LW au RW wakati wapo natural wingers wamejaa... Mount ni wa kuingia kipindi cha pili
Ziyech>mount
Pulisic>mount
Kai> mount

Au kama lampard anampenda sana akacheze nafasi ya zouma
Pulisic na ziyech wote wametoka injury na huwez kuwarakisha
 
Kiongozi unaona nini special FL anakileta tokea nusu ya msimu uliopita zaidi ya game 25 sioni positive improvement upande wa kudefend matatizo yaleyale toka derby county Klopp hakuwa na mafanikio misimu 3 ya mwanzo ila alikuwa na positive progress big game unamuona kabisa ni threat, Sisi ni mabingwa wa kupossess kwenye area isiyo na madhara kwa adui wachezaji hawana fighting spirit ya kichampion yaani timu huwa inakubali matokeo kirahisi, pili napoongelea plan B sio ya kimfumo tu huwezi dominate league kwa flat tactic kuna game unatakiwa ushinde kwa long range, kutengeneza mazingira ya penalty, freekicks sasa sion kama kuna kitu design hiyo tunagenerate
Hayo mambo kwa Klopp ulianza kuyaona baada ya misimu mingapi ndani ya msimu huohuo akaanza kudominate big games.? Ambacho ninaamini hata akija kocha gani lazima malalamiko kama haya yatakuwepo kwa sababu sisi mashabiki siyo watu wa kuridhika. Tumesha hangaika sana kubadilisha makocha ifike kipindi kocha apewe muda kuweza kujenga timu yake baada ya hapo ndio tuanze kumjudge. Binafsi nitaanza kumkosoa baada ya huu msimu otherwise naona bado ni kocha sahihi kwetu kutufikisha nchi ya ahadi.

Kheri tukawa na subira tunapokula mtori kuliko kujifanya machachari kutaka kuzifuata nyama chini tutaishia kuungua mkono.
 
johsee nakuunga mkono huyo jamaa anamtetea Sana Lampard sijui anampa Nini? Hatuwezi kuchukua ubingwa ikiwa kocha Ni Lampard
Kijana tuongee kwa hoja usifuate tu moyo wako. Hata kwa Sarri mlisema ivyo ivyo mlichoshindwa kuelewa ni alikosa baadhi ya wachezaji kuikamilisha Chelsea tuliyoitaka. Sasa hivi mpo kwa Lampard na hata akija kocha mwingine mtasema ivyo ivyo tu.
 
Na kwanini acheze LW au RW wakati wapo natural wingers wamejaa... Mount ni wa kuingia kipindi cha pili
Ziyech>mount
Pulisic>mount
Kai> mount

Au kama lampard anampenda sana akacheze nafasi ya zouma
Mimi nilidhani tunafanya mjadala serious kumbe kuna utani. Mkuu am out
 
Mimi nilidhani tunafanya mjadala serious kumbe kuna utani. Mkuu am out
Ni suala la muda tu tutakubaliana kuwa kwa sasa lampard hayupo level ya kuinoa chelsea, labda kama lengo sio kuchukua vikombe kwenye misimu hii miwili inayofuatia.
 
Ni suala la muda tu tutakubaliana kuwa kwa sasa lampard hayupo level ya kuinoa chelsea, labda kama lengo sio kuchukua vikombe kwenye misimu hii miwili inayofuatia.
Kwani chelsea mna mawazo ya ubingwa? [emoji23] [emoji23]
 
johsee nakuunga mkono huyo jamaa anamtetea Sana Lampard sijui anampa Nini? Hatuwezi kuchukua ubingwa ikiwa kocha Ni Lampard
Ndg Lampard ni kocha mzuri. Hakuna kocha asiyekuwa na mapungufu. Na hii ligi ya mwaka huu ndio mtajua kuwa kila kocha ana mapungufu tena makubwa
Liverpool wako exposed sasa bila Alisson na VVD ndio mtajua Klopp ana mapungufu
PEP bila ya Fernandinho ktk ubora wake na kule mbele hawana David Silva, Laporte
Chelsea tatizo mnajua lakini mnamlaumu Kocha tu
Vuteni subira timu ikamilike kwanza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom